Uchaguzi 2020 Haya ni mambo 10 niliyoona kwa CCM Vs CHADEMA mpaka sasa kuelekea kipute cha kampeni rasmi


Nimependa sana hiyo sentesi ya mwisho. Ila wasi wasi wangu ni jinsi gani Lisu ataongea zaidi hayo mapendekezo yako, na sio hali au mazingira yaliyopelekea shambulio lake. Kama cdm ina watu wa saikolojia ni vyema wakakae naye ili kumuweka kwenye mazingira ya kuongelea wananchi zaidi, kisha haya yakwake yakajazia hesabu.
 
Hahahaha kwenye suala la ajira tumshukuru Magufuli???? Amka usingizini ndugu


Nend kakae na mwana CCM mwenzako Jakaya Kikwete akuelezee huo uchumi wa kati. Tuondolee ujinga wako hapa.

Subiri uone October 2020 huyo Magufuli wako anavoenda kupigwa mchana kweupe na Lissu
 
tukiwaambia hamkubaliki mtaani hua mnaona tunaongea sana, mmeona sasa kwa macho?

Mtaa upi labda ili tuende kuchunguza? Maana ungesema APPT MAENDELEO wangalau ningekuelewa lakini sio cdm.
 
Ishu sio kujipanga.Kwa miaka hii mitano kila mtz ni mhanga wa kuumizwa na awamu hii ya hovyo kuliko zote tangu ukoloni,watu watapiga kura za hasira kura za kisasi,maana wanajua kama mgombea wa ccm akirudi tena atawaumiza sana again miaka 5 kwa maumivu na mateso makali walilimia meno watalimia kucha sababu ya uzoefu wa mateso waliyopata.Ugumu wa maisha uliotokana na kuwasosmesha watu namba ili wawe masikini ili waweze kutawaliwa umelata chuki kubwa sana watu kuichukia awamu hii.
Hayo makubwa wanayojidaia ayajasaidia kuboresha maisha yao zaidi ya ngojera na propaganda makubwa yamefanyika Dar,Dodoma NA Chato pekee na hayagusi maisha ya watu bali ni kuleta sifa na lengo kuacha legacy tu ya kukumbukwa kawamba jengo hili lilijengwa na fulani lakini hayajaangazia kuinua maisha ya watz.Maendeleo ya vitu pasipo watu uleta umasikin mkubwa sana ktk nchi na umasikini uleta kuchukiwa kwa serikali iliyopo.Ukiachilia DAR,CHATO na DODOMA ni mikoa gani mingine ya nchi wanaweza simama kifua mbele wametendewa haki na awamu hii?
Makundi yote kijamii yameumizwa na hii ni kampeni tosha kwa upinzani mfano wasiojulikana,wafanyafakazi kunyimwa haki zao,wakulima kuzulumiwa mazao yao,wahitimu kukosa ajira sababu ya sera mbovu za kuwakomaoa matajiri eti wawe masikini utadhani wao ndo wagawa riziki.
Tegemeo la ccm in vitu vitatu tu SGR,bwawa ambavyo havina matumaini ya kukamilika lini,na ndege ambavo bado havijagusa maisha ya mtu watu watu shibe kwanza hivo vingine ni ziada hapa ccm hawana hoja.
 
Haa tundulisi hajulikani kokote ...yaa tundulisu akibata kura hata 3% na Hama nchi

Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
 
Utawala ambao haueshimu Katiba na Haki za Binadamu hata kama umefanya mazuri gani ni bure

Noted well
 
Kuna think tank zimeondoka CHADEMA ndio maana hawatakuwa na strategy zozote za kueleweka.
Subirini tuone
 
Kuna think tank zimeondoka CHADEMA ndio maana hawatakuwa na strategy zozote za kueleweka.
Subirini tuone
Mtu kama Prof Baregu sifahamu aliko kwasasa au ameachana na siasa.
 

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

alafu baada uchaguzi kuisha urudi apa cdm watakua na 19% ya kura usiseme nna uchawi we rudi apa baada ya uchaguzi
 
The rate-determining step is a free and fair election, short of this all this is rubbish!
 
Ni uchambuzi mzuri as at TODAY ila yote tusubiri hiyo MANIFESTO YA CCM ya Uchaguzi na Mwelekeo wao hadi 2030! Hiyo ndiyo kiboko yao na yote unayo tamani kuyaona au/na kuyasikia yamo humo. We subiri uone WANAHARAKATI watakavyo hangaika. Halafu hoja ya upinzani kusimamisha mgombea mmoja wa kwenye nafasi ya Urais, mie nasema FORGET THAT! Hawana ubavu huo hawa WALAFI wa madaraka na RUZUKU. Kwa wengi hivi vyama vya siasa ni NGO ZAO. Hawawezi KU-COMMIT SUICIDE hawa.
 
Bongo kila mtu mjuaji kuna wajuaji wa siasa wajuaji wa Corona wajuaji wa misiba wajuaji wa mpira wajuaji wa mambo ya wasanii kwa lugha ya kishule wanaita wachambuzi uchwara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…