Uchaguzi 2020 Haya ni mambo 10 niliyoona kwa CCM Vs CHADEMA mpaka sasa kuelekea kipute cha kampeni rasmi

alafu kwann wana cdm wengi hua hamnaga hoja zaidi ya matusi maaana hakuna sehem nmetukana mtu

..wewe shughulika na lugha za matusi na udhalilishaji anazotumia Jpm akiwa kwenye majukwaa.

..au lugha za udhalilishaji wanazotumia wabunge wa ccm wanapotoa michango yao bungeni.

..waTz tulifanya makosa 2015.
 
usitegemee uchaguzi kuwa mwepesi,kumbuka JPM ana maadui wengi na data zake wanazo wanashindwa pa kuzisemea kwa vyovyote watazipenyeza kwa TL ili ammalize jiwe, tegemea kuyajua mengi usiyoyajua ambayo ni ya hovyo kutoka kwa Rais wenu jpm ikiwemo ufujaji wa pesa z Serikali....
 
mkuu wangu umepangilia hoja vizuri ila sjakuelewa
mkuu wangu umepangilia hoja zako vizuri ila sijakuelewa mkuu, iko hivi mwaka huu wa uchaguzi hata ungesimamishwa wewe uchaguzi huu kwa vyama pinzani upo wazi ungeshinda tu , maana mambo makubwa kweli hawam hii imefanya yale ya muonekano wa juu mfano kama ndege n.k but wananchi hali ni mbaya huko mitaani sijui unatumia sayansi hipi ya siasa mkuu , japo wenzetu madactari husema disease never reads book , sasa chukua msemo huo upeleke katika jamii na serikali yake nafikili utaelewa maana yake.
shida hapa ccm wajue watanzania wanjua makubwa waliyo yafanya but pamoja na hayo wako bi tahabani why , na ndo swala ccm watakiwa kulijibu
 
..wewe shughulika na lugha za matusi na udhalilishaji anazotumia Jpm akiwa kwenye majukwaa.

..au lugha za udhalilishaji wanazotumia wabunge wa ccm wanapotoa michango yao bungeni.

..waTz tulifanya makosa 2015.


si mlikua mnasema lowasa mabadiliko , saaahv mmefanya makosa tusubirie ujao tena mseme mmefanya makosa, SKU mkiweza kujenga hoja zenye mashiko kwa watanzania ndo mtaskilizwa, , , yaani mkipata zaidi ya 20% huu uchaguzi njoo tena kwenye huu uzi
 
Kwa rekodi zilizopo, chaguzi za marudio na uchaguzi wa serikali za mitaa, ccm wametumia dola kuhalalisha uporaji. Hawana uzoefu wowote isipokuwa uporaji. Sitarajii kuona mikakati ya maana zaidi ya kuonesha woga, hawajazoea ushindani.

Pia wamewaziba midomo wapinzani na kuwaadhibu sana. Kwa hiyo:
1) kwa kuwa Magufuli ameimba sana wimbo wa mafanikio yake kwa miaka 5, wimbo huo umechuja. Taifa linasubiri kuwasikia hao waliokuwa kifungoni
2) "mafanikio" ya Magufuli yanafunikwa na hali ngumu ya uchumi, mzunguko finyu wa fedha. Wapinzani wanahitaji kujikita hapo kwa sana. Ndipo kilipo kidonda.
3) jeshi la watumishi wa umma, likisaidiwa na jeshi la akiba la waliotumbuliwa, wenye vyeti feki, waliobomolewa, waliofungiwa biashara zao, nk., pamoja na ndugu na jamaa zao wote, linaweza kutumika kuimba wimbo mpya wa wapinzani.
 
Ngo Ngoja lisu aanze kuzunguka ndio utaona umma utakavyompokea
 
Kuichagua CCM Tena ni kukaribisha mateso miaka mitano mingine.
 
Kwahiyo wewe leo ndio umekuwa mshauri mzuri wa Chadema! Kwamba unaipenda au??
Ondoa utumbo wako hapa.
 
Hivi jiwe ataweza kweli kupambana na Lisu maana mpaka sasa hivi matokeo ni tatu bila.
 
Wewe mwenyewe nini kimekubadilisha? 2016 na 2020 ni mtu tofauti kabisa
 
Tukiweka ushabiki pembeni,,nadhani kwa kiasi kikubwa nakubaliana na wewe
 
Eti takwimu zinambeba sijui ni takwimu zipi zinazombeba?

Inakuwaje mtu ambaye takwimu zinambeba aiogope Tume Huru? Pia aogope kura kuhesabiwa hadharani na kwa UWAZI? [emoji15]
Hahahha... Haya madai yenu ni vituko vitupu
 
Kaa ukijua Lisu hatapata walau 20% ya kura

Hutaamini kitakchotokea mwaka huu,

Lisu ana kundi dogo sana linalomshabikia na wengi wao wako chadema. Hana mtaji wowote wa watu nje ya chama chake.

Tukutane oktoba
 
Kaa ukijua Lisu hatapata walau 20% ya kura

Hutaamini kitakchotokea mwaka huu,

Lisu ana kundi dogo sana linalomshabikia na wengi wao wako chadema. Hana mtaji wowote wa watu nje ya chama chake.

Tukutane oktoba
Tukutane October 2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…