Haya ni mambo matatu ya kuzingatia kabla ya Kufungua Kampuni

Haya ni mambo matatu ya kuzingatia kabla ya Kufungua Kampuni

Luhamba II

Senior Member
Joined
Mar 22, 2025
Posts
137
Reaction score
219
Kampuni ni model ya biashara inayopendwa sana na ambayo infant ni rahisi sana ku scale.

Lakini Kuna mambo kadhaa ya kuzingatia kabla hujafanya maamuzi ya kufungua Kampuni;

1. Capital
Mtaji una play part kubwa sana ya Kampuni, ni lazima ujue unahitaji kuandika ni capital kiasi gani utaanza nacho.

Watu wengi hujaza mtaji wowote hata kama hawana, lakini kumbuka the more unavyoandika mtaji mkubwa, the more Brela wanakuchaji pesa ndefu pia

2. Partners
Kwa Sheria za kwetu Bado haturusiwi kua na one person company.
Ni lazima ujue unaenda ku partner na nani katika Kampuni yako.

3. Industry
Brela wanahitaji uwe very specific ni industry gani ya biashara Kampuni yako itajikita.

Hata kama ni general business company, ni lazima kuwe na main business of the company ambayo ndio itakua default industry ya Kampuni yako.

Hey, naitwa Luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer, nawasaidia wafanya biashara kama wewe kusajili biashara Kampuni na leseni.

Kama unahitaji consultation zaidi kuhusu usajili wa Kampuni unaweza kunitumia ujumbe WhatsApp kupitia namba hizi

0678131068

PS: Consultation ni BURE kwa mwanzo huu wa mwezi.

Happy New Month
 
Back
Top Bottom