Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,461
- 11,345
Duuh😮😮Cc Lucha nimkandamizaye kutwa.
Duuh😮😮Cc Lucha nimkandamizaye kutwa.
Basi kwenu idodi 😂Aaaah wapiii 😃
Adriz atatumbukia kwenye shimo na asipate kuokolewa 😂Mkuu pisi yetu Gentamycine, namuona adriz anaimendea!!
That's it 😎.Duuh😮😮
Hamna kwetu town paleBasi kwenu idodi 😂
Naona Adriz,amevutiwa na lile takoAdriz atatumbukia kwenye shimo na asipate kuokolewa 😂
Wapi frelimo nime soma highland paleHamna kwetu town pale
Mkuu nimekaa sana isimani na migori mtandao ulikuwa shida sana.Ahahah kama muhehe basi kwenu ni ipogolo 😂
We inaonekana ulikuwa unapita na walimu weweWapi frelimo nime soma highland pale
Nikiwa nakaa wilolesi
Lile tako lina mengi! Mwambie jambo asilolijua ni kama usiku wa gizaNaona Adriz,amevutiwa na lile tako
Acha kabisa isiman kule ndio kuna chimbo la madada wa kaziMkuu nimekaa sana isimani na migori mtandao ulikuwa shida sana.
Kumbe mkuu we mnyalu kabisa, tena ndugu yake rapper Mike T.Basi kwenu idodi 😂
Kuna madamWe inaonekana ulikuwa unapita na walimu wewe
😂😂😂 hapana sema kule nimekaa sana si una jua zaman wazee walikuwa wna amishwa ovyo ovyoKumbe mkuu we mnyalu kabisa, tena ndugu yake rapper Mike T.
Kule kwa Mzee nimpendaye katika historia, MWAMWINDI the one and only.Acha kabisa isiman kule ndio kuna chimbo la madada wa kazi
Hapo sawa mkuu. Nimeumisi ulanzi aisee 😂😂😂😂 hapana sema kule nimekaa sana si una jua zaman wazee walikuwa wna amishwa ovyo ovyo
AhHh af ataki kuachia jimbo mpaka afeKule kwa Mzee nimpendaye katika historia, MWAMWINDI the one and only.
Ahhaah ukipita ile mitaa ya mkwawa jioni unasikia tu harufu 😂😂 kuna mboga flani unaipata inaitwa mkunungi 😂😂Hapo sawa mkuu. Nimeumisi ulanzi aisee 😂
Yeah 😂AhHh af ataki kuachia jimbo mpaka afe