Haya ni mambo sita (06) ya kujifunza kabla hujaanza kuishi mwenyewe magetoni tafadhali

Huyo Brain naona hana muongozo wowote wa maisha, kwa maelezo yake yeye ni kubingilishana na mishangazi usiku kucha, asubuhi wamuachie hela ya chai na ugali mchana, lenyewe linabaki limefungiwa ndani tu linaangalia makatuni kwa Tv hadi jua lizame mshangazi wake aludi abingilishene tena, kwa akili hizi hakuna kijana hapo.
We jamaa mimi now nishaacha kuangalia katuni..
Yaani tamthilia zote hizi DUNIA, PENZI LA BOSI NA DADA WA KAZI , Bado nikomae na katuni.....

Alafu aniachiagi pesa.
Mi pesa natafuta mana kuna duka moja la nguo kaniachia...
 
Umeona sasa ulivyo na akili fupi ndugu yangu, kuachiwa duka si ndo kuachiwa pesa ya kula, anyway ujue siku ukipunguza kumkuna vyema au akipata kijana mwingine mwenye mashuti makali kuliko Ronaldo, duka ndo linakupa baibai hivihivi unajiona.
 
Mkuu unajua mpka najifunza kegel ili niwe stronger...

Na dawa mbali mbali natumia kama MUNDENDE NA MUKUKI
Yote hayo ni kutafuta njia sahihi ya kuweza kumkuna mkuu kiufupi nakuna sana aiseeee
 
Huyo Brain naona hana muongozo wowote wa maisha, kwa maelezo yake yeye ni kubingilishana na mishangazi usiku kucha, asubuhi wamuachie hela ya chai na ugali mchana, lenyewe linabaki limefungiwa ndani tu linaangalia makatuni kwa Tv hadi jua lizame mshangazi wake aludi abingilishene tena, kwa akili hizi hakuna kijana hapo.
Hahaha 😂😂
 
Back
Top Bottom