Haya ni mataifa matano ambayo mwanamke anaweza kuolewa na wanaume zaidi ya mmoja

Sharing is caring
 
Inawezekana pia lakini sioni kama inawezekana
Inawezekana kabisa.
Kawaida mtu anaolewa/kuoa ili kupata mahitaji fulani and sex being one of the many needs. Ony in an ideal world mwanaume anaweza kutimiza mahitaji yote kwa mwanamke.

Kiuhalisia mwanaume anaweza kua mzuri kwenye hitaji moja alafu akawa mchovu kwenye hitaji jingine. Anaweza kua provider alafu hasimamishi, au mzuri in bed lakini sio provider[emoji1][emoji1] sasa inashindikana vipi Ke kuolewa na hawa wawili.
 
Mila na desturi hutengeneza utamaduni, uko kama ulivyo kutokana na utamaduni ulioukuta
 
Mbona Maasai akikuta mkuki mlangoni kwake halalamiiki? Mila ni utumwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…