Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Weka matokeo hapaHakuna anaeiombea ,in fact tunatamani miujiza itokee , kujiheshimu na kumheshimu mpinzani ni kujua limit ya uwezo wako .. Taifa Stars Oyee
Kaka hata usipoiombea ifungwe kipigo kipo palepaleKuna vijana wa hovyo, pia kuna wananchi wa hovyo.
Sasa sijui hawa wananchi wa hovyo wamechukizwa na nini, lakini najua tu kuna vitu vimetendwa aidha na serikali yao au na baadhi ya viongozi wao ndivyo vimewajengea chuki dhidi ya taifa lao tukufu.
Haya haters toeni utabiri wenu hapa ππππ
Yaani niweke hela yangu eti kwambaa! Starz ISHINDE!? Nimerogwa!?... Ama hiyo hela Haina kazi!?Kuna vijana wa hovyo, pia kuna wananchi wa hovyo.