Haya nyie mnaoiombea Tanzania ifungwe na Morocco uzi wenu huu

Umeniwahi...watu ni washamba sana..sasa kama unachukia watu wa Taifa lako hamieni Moroco kabisa....
Yani nawaza kocha anajisikiaje kufundisha timu ya nchi ambayo watu wake wamejaa ngenga namna hii...akiangalia comments through google transilator anaweza kulia..hawezi pata moyo...
Watu wanawakatisha vijana moyo...kama serikali mnaichukia ichukieni yenyewe acheni vijana wapambane...
 
We kaka acha kujifanya mzalendo uchwara, kila mtu ana uhuru wa kushabikia timu anayoona inamfaa, wewe ni nani mpaka uanze kuelekeza watu cha kushangilia, mbona wewe hakuna aliyekuchagulia kushangilia makolo.
 
Tunazingatia maokoto.
Screenshot_20240117_205650_betPawa.jpg
 
Back
Top Bottom