Haya nyie mnaoiombea Tanzania ifungwe na Morocco uzi wenu huu

Haya nyie mnaoiombea Tanzania ifungwe na Morocco uzi wenu huu

Kwa taarifa yako hawa kichwa cha mwendawazimu, watashika mkia kwa mara nyingine tena kwenye hilo kundi lao.

Tanzania imepeleka kundi la watalii tu kwenye hayo mashindano. Hakuna timu pale.
Kwangu mimi majina mengi ya hao walioko katika timu hii siyafahamu kabisa. Naambiwa hao ni wachezaji ambao wako katika vilabu kadhaa nje ya nchi. Uteuzi wa wachezaji kwa sasa hutegemea anachezea timu gani huko nje kwa madai kwamba wana uzoefu katika michezo ya timu kubwa na pia Ile ya kimataifa. Naungana na wewe kwamba hili kundi la watalii tulilonalo halitatupeleka kokote.
 
Back
Top Bottom