Haya nyie mnaoiombea Tanzania ifungwe na Morocco uzi wenu huu

Vitatu vya mkwezi
 
Si nimekuazima akili lakini!!!! Haya,nikatie changu sasa. Mimi ndo nilikwambia toka jana kwamba itakuwa hivi hivi. Ona sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haaa haaa haaa kweli mkuu nimetumia akili yako kutabiri, taja namba nikufanyie muamala chap
 
Unaweza kutamani Tanzania ifungwe lakini si jambo rahisi kama baadhi ya watu wanavyo fikiri, huu ni mpira wa miguu hauitaji maneno mengi.
Kwa taarifa yako hawa kichwa cha mwendawazimu, watashika mkia kwa mara nyingine tena kwenye hilo kundi lao.

Tanzania imepeleka kundi la watalii tu kwenye hayo mashindano. Hakuna timu pale.
 
Siasa zimeingizwa, uongo uongo kibao, matumizi ya upigaji tu, kamati ya hamasa watanzania hawajaikubali, uswahili mwingi ,kocha haamini kama tutashinda hata mechi moja ...ndio maana WATANZANIA wengi wanaona bora ifungwe tu ..wengi hawafeel raha kushabikia timu ya Taifa na kujivunia ..wanaweza wakasema wanaiombea mema lakini ndani ya nafsi zao wanasema ifungwe tu.
 
Laan mmeitaka wenyewe.....Mnachangia Team mabilioni wakati Hanang wanalia na njaa na mafuriko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…