Haya nyie wajinga, vipi ICC file liko chumba nambari ngapi?

Bado tunawasikiliza na kuwafuata Mabeberu?
 

wewe ni lazima utakuzwa ni muslim wa tanzagiza kwa 100%, hapo ndiyo umemaliza khs uchumi, kwenu ninyi uchumi maana yake ni uchuuzi tu bodaboda, dala dala, wizi na dhuluma, kwa hiyo nchi nzima milioni 60 tuhamie liwale na kununua boxer na kuchimba visima vya maji? ...
 
umemsaidia huyu kibaka wa Lumumba kuelewa hili jambo
 
Kuna mwanasiasa yeyote aliye fungwa na mahakama hiyo kutokana na machafuko hayo.
Wewe UVCCM kesi ya Kenya uliifatilia au unaleta mabishano yasio na maana?
 
Halafu baadae hao walioshitakiwa ndo hao maraisi Sasa, au sio?!!🀣🀣🀣 Uwe unamaliza kabisa stori usiishie kati.
Kwasababu huna akili ngoja nikueleweshe mauaji ya Kenya yalikua ya kikabila na waliuana wenyewe kwa wenyewe kipindi hicho Ruto na Uhuru walikua vyama vya upinzani wakadonoshewa msala wao ICC ikafanya uchunguzi wakakutwa hawana hatia. Labda niku ulize mauaji ya October yalifanywa na raia?
 
Kvumamako
 
UVCCM bana hapo umepewa buku 7 unaona wengine vibaka πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kvumamako
Teh teh teh.
Bi mkubwa naona umetoa bonge la hoja hapo juu!
🀣🀣.
Hili ndio tatizo la JF. Mpk vitoto ambavyo havijavunja ungo vimo humu.
 
Njoo niusuuze huo mtaro unaokuwasha
 
Ndiyo, raia nao kwa maelekezo ya TEC waliyafanya kwa kuua askari kadhaa. Maana TEC, maria, mange na chadema wao waliwaambia wafuasi wao waharibu Kila kitu ikiwemo kupiga polisi yeyote aliye mbele yao isipokuwa mwanajeshi tu (waliaminishwa kuwa hawa wanampindua Samia na wanamchukia nchi). Ndo maana wakati wa uapisho kitu Cha kwanza TEC walichofanya ni kuwakumbuka watu wao waliofariki wakati wa vurugu zao, nieleweke, waliwakumbuka watu wao tu basi na si mtu mwingine yeyote.......hawakuwakumbuka maaskari waliodhurika Wala hawakulaani uharibifu, wizi na ujambazi uliochochea vurugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…