Haya nyie wajinga, vipi ICC file liko chumba nambari ngapi?

Haya nyie wajinga, vipi ICC file liko chumba nambari ngapi?

Wenye Dunia na wamiliki wa ICC jana wameisifu Tanzania.
Watu wakikosa strategic planning ya siasa kazi yao kubwa itakuwa kudandia dandia mada .
Suala la umeme limetatuliwa sasa wamehamia kwenye maji, kwenye maji nako kukikaa sawa watahamia kwenye jua.
Kwa ufupi wapinzani Ikulu mtaingia ila hamtaingia kama watawala.
never never never.
Kesho Paul Makonda akitangaza kumpinga Rais wapinzani wataungana naye kwasababu ya ujinga wao.
Polepole alihusika kuua upinzani kwa 100 % kakorofishana na wana CCM wenzake kwasababu ya vyeo wapinzani wakadandia gari.
Kwa ufupi hamna akili.
Bado tunawasikiliza na kuwafuata Mabeberu?
 
Liwale kuna pesa kama njugu.
Ukiwa na million 3 ukanunua mashine ndogo 10 za kuvuta maji una uhakika kupata laki 3 kila siku migodini.
Fursa ni nyingi.
Hiyo million 3 ukanunua boxer utaletewa elfu 10 kwa siku na siku isiyo na jina utasikia bodaboda kafa pikipiki iko kituoni . Matengenezo million 1.
Kipindi hichi cha Samia mtu asipotoboa basi tena.
Liwale ndio home ingawa nina miaka 15 sasa sijapagusa

wewe ni lazima utakuzwa ni muslim wa tanzagiza kwa 100%, hapo ndiyo umemaliza khs uchumi, kwenu ninyi uchumi maana yake ni uchuuzi tu bodaboda, dala dala, wizi na dhuluma, kwa hiyo nchi nzima milioni 60 tuhamie liwale na kununua boxer na kuchimba visima vya maji? ...
 
Mkuu una haraka ya nini,haya mambo Yana hatua zake, ICC haikurupuki Wala sio kangaroo court kama za Tanganyika akisema Samia kumfunga Lissu basi anafungwa.

Kwa sasa ICC hakuna kesi rasmi iliyofunguliwa, bali kuna mchakato wa tathmini ya awali (preliminary assessment) unaoendelea kwa maombi yaliyowasilishwa ili kuona kama Kuna jinai au lah.

Kuwa mvumilivu,kufikia mwezi wa tatu utapata majibu mazuri sana
umemsaidia huyu kibaka wa Lumumba kuelewa hili jambo
 
Kuna mwanasiasa yeyote aliye fungwa na mahakama hiyo kutokana na machafuko hayo.
Wewe UVCCM kesi ya Kenya uliifatilia au unaleta mabishano yasio na maana?
 
Halafu baadae hao walioshitakiwa ndo hao maraisi Sasa, au sio?!!🤣🤣🤣 Uwe unamaliza kabisa stori usiishie kati.
Kwasababu huna akili ngoja nikueleweshe mauaji ya Kenya yalikua ya kikabila na waliuana wenyewe kwa wenyewe kipindi hicho Ruto na Uhuru walikua vyama vya upinzani wakadonoshewa msala wao ICC ikafanya uchunguzi wakakutwa hawana hatia. Labda niku ulize mauaji ya October yalifanywa na raia?
 
Hao vibaka wapenda utajiri bila mtaji lzm waje hapa na matusi gunia nane.
Wapi umewahi kusikia maandamano yasio na kiongozi yyt hata mmoja wa upinzani?
Wale woote wanao wapandisha hawa vijana jazba wako nyuma ya pc na kubwabwaja tu. Halafu cha kushangaza kila mropokaji ni mtu asie na chochote cha kupoteza Nchini halafu wanajiita wazalendo.
We huna hata baskeli utajali nini nchi ikiwaka moto?
Yaani tuseme matajiri woote Tanzania wanaikubali CCM?
Mbona hakuna tajiri mwenye mali zake nchini akatokeza kupambana .?
Wanawaachia wale vibaka wakavunje maduka na kuiba halafu wakishugulikiwa wanadai wameonewa
Wasipokuwa na adabu DOLA itawatia adabu .

Sasa ngoja waje na mipasho yao.
Lkn hakuna cha ICC wala IPC hapa.
Kvumamako
 
UVCCM bana hapo umepewa buku 7 unaona wengine vibaka 😂😂
 
Wenye Dunia na wamiliki wa ICC jana wameisifu Tanzania.
Watu wakikosa strategic planning ya siasa kazi yao kubwa itakuwa kudandia dandia mada .
Suala la umeme limetatuliwa sasa wamehamia kwenye maji, kwenye maji nako kukikaa sawa watahamia kwenye jua.
Kwa ufupi wapinzani Ikulu mtaingia ila hamtaingia kama watawala.
never never never.
Kesho Paul Makonda akitangaza kumpinga Rais wapinzani wataungana naye kwasababu ya ujinga wao.
Polepole alihusika kuua upinzani kwa 100 % kakorofishana na wana CCM wenzake kwasababu ya vyeo wapinzani wakadandia gari.
Kwa ufupi hamna akili.
Njoo niusuuze huo mtaro unaokuwasha
 
Kwasababu huna akili ngoja nikueleweshe mauaji ya Kenya yalikua ya kikabila na waliuana wenyewe kwa wenyewe kipindi hicho Ruto na Uhuru walikua vyama vya upinzani wakadonoshewa msala wao ICC ikafanya uchunguzi wakakutwa hawana hatia. Labda niku ulize mauaji ya October yalifanywa na raia?
Ndiyo, raia nao kwa maelekezo ya TEC waliyafanya kwa kuua askari kadhaa. Maana TEC, maria, mange na chadema wao waliwaambia wafuasi wao waharibu Kila kitu ikiwemo kupiga polisi yeyote aliye mbele yao isipokuwa mwanajeshi tu (waliaminishwa kuwa hawa wanampindua Samia na wanamchukia nchi). Ndo maana wakati wa uapisho kitu Cha kwanza TEC walichofanya ni kuwakumbuka watu wao waliofariki wakati wa vurugu zao, nieleweke, waliwakumbuka watu wao tu basi na si mtu mwingine yeyote.......hawakuwakumbuka maaskari waliodhurika Wala hawakulaani uharibifu, wizi na ujambazi uliochochea vurugu.
 
Back
Top Bottom