Haya sasa HAMISA MOBETTO ndani ya maternity photoshoot Kali!!!

Kama kawaida ya mastaa wetu wa kibongo hupendelea sana wanapokuwa wajawazito kugonga maternity photoshoot.
Huu sasa ndio muonekano wa Hamisa Mobetto katika maternity photoshoot [emoji116]

-Ndumilakuwili-
Wakivuliwa nguo wamedhalilishwa akivua mwenyewe poa tu...wehu wakubwa wanaharibu maadili...kama kuna woman right association nahisi woman punishment association zinahitajika pia sio kwa ujinga huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjini Kuna kazi kweli kweli
Kama kawaida ya mastaa wetu wa kibongo hupendelea sana wanapokuwa wajawazito kugonga maternity photoshoot.
Huu sasa ndio muonekano wa Hamisa Mobetto katika maternity photoshoot [emoji116]

-Ndumilakuwili-
 
Mjini Kuna kazi kweli kweli
Kama kawaida ya mastaa wetu wa kibongo hupendelea sana wanapokuwa wajawazito kugonga maternity photoshoot.
Huu sasa ndio muonekano wa Hamisa Mobetto katika maternity photoshoot [emoji116]

-Ndumilakuwili-
 
:Hapo atakwambia kwa kuwa anajimudu kiuchumi,pesa anajua kutafuta,mtoto anaweza kumtunza bila baba, hivyo haoni sababu ya kuoelewa!
 
Watoto wawili bila ndoa baba tofauti and yet she is so proud.... congrats Hamisa dear.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Duh! Na hana mpango wa kuolewa,yeye shida yake watoto tu! Hongera sana kwake kwa kuishi maisha ya ulimwengu wa kwanza
Tusi judge huenda waoaji wapo kwenye mgomo ila kwa kua waliambiwa wafyatue elimu bure basi dada yetu kaamua kuanza wengine wafuatee. lol

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…