Haya sasa HAMISA MOBETTO ndani ya maternity photoshoot Kali!!!

Haya sasa HAMISA MOBETTO ndani ya maternity photoshoot Kali!!!

Kama kawaida ya mastaa wetu wa kibongo hupendelea sana wanapokuwa wajawazito kugonga maternity photoshoot.
Huu sasa ndio muonekano wa Hamisa Mobetto katika maternity photoshoot [emoji116]
1fb3b0f43153ba0f362faf76d0cdee76.jpg
1c08e7f03e0bf3a88478de9f22d7f485.jpg

-Ndumilakuwili-
Wakivuliwa nguo wamedhalilishwa akivua mwenyewe poa tu...wehu wakubwa wanaharibu maadili...kama kuna woman right association nahisi woman punishment association zinahitajika pia sio kwa ujinga huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjini Kuna kazi kweli kweli
Kama kawaida ya mastaa wetu wa kibongo hupendelea sana wanapokuwa wajawazito kugonga maternity photoshoot.
Huu sasa ndio muonekano wa Hamisa Mobetto katika maternity photoshoot [emoji116]
1fb3b0f43153ba0f362faf76d0cdee76.jpg
1c08e7f03e0bf3a88478de9f22d7f485.jpg

-Ndumilakuwili-
 
Mjini Kuna kazi kweli kweli
Kama kawaida ya mastaa wetu wa kibongo hupendelea sana wanapokuwa wajawazito kugonga maternity photoshoot.
Huu sasa ndio muonekano wa Hamisa Mobetto katika maternity photoshoot [emoji116]
1fb3b0f43153ba0f362faf76d0cdee76.jpg
1c08e7f03e0bf3a88478de9f22d7f485.jpg

-Ndumilakuwili-
 
:Hapo atakwambia kwa kuwa anajimudu kiuchumi,pesa anajua kutafuta,mtoto anaweza kumtunza bila baba, hivyo haoni sababu ya kuoelewa!
Huu ni msemo wa mtu ambaye ukimuuliza maana halisi ya ndoa wala hajui na anaishi tu kwa hisia zake. Mradi jamii fulani inamkubali basi hajiongezi, watu wa aina hii huwa hawana maadili mazuri na wamekata tamaa kuhusu ndoa

Sent using Jamii Forums mobile app[/Q
 
Watoto wawili bila ndoa baba tofauti and yet she is so proud.... congrats Hamisa dear.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Duh! Na hana mpango wa kuolewa,yeye shida yake watoto tu! Hongera sana kwake kwa kuishi maisha ya ulimwengu wa kwanza
Tusi judge huenda waoaji wapo kwenye mgomo ila kwa kua waliambiwa wafyatue elimu bure basi dada yetu kaamua kuanza wengine wafuatee. lol

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Back
Top Bottom