Social maniac
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 357
- 428
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakivuliwa nguo wamedhalilishwa akivua mwenyewe poa tu...wehu wakubwa wanaharibu maadili...kama kuna woman right association nahisi woman punishment association zinahitajika pia sio kwa ujinga huuKama kawaida ya mastaa wetu wa kibongo hupendelea sana wanapokuwa wajawazito kugonga maternity photoshoot.
Huu sasa ndio muonekano wa Hamisa Mobetto katika maternity photoshoot [emoji116]![]()
![]()
-Ndumilakuwili-
Na wewe upo tayari mkuu kuzaa naye?hv kuna mtu hapendi kuzaa na daimond 20% labda
Kama kawaida ya mastaa wetu wa kibongo hupendelea sana wanapokuwa wajawazito kugonga maternity photoshoot.
Huu sasa ndio muonekano wa Hamisa Mobetto katika maternity photoshoot [emoji116]![]()
![]()
-Ndumilakuwili-
Kama kawaida ya mastaa wetu wa kibongo hupendelea sana wanapokuwa wajawazito kugonga maternity photoshoot.
Huu sasa ndio muonekano wa Hamisa Mobetto katika maternity photoshoot [emoji116]![]()
![]()
-Ndumilakuwili-
Huu ni msemo wa mtu ambaye ukimuuliza maana halisi ya ndoa wala hajui na anaishi tu kwa hisia zake. Mradi jamii fulani inamkubali basi hajiongezi, watu wa aina hii huwa hawana maadili mazuri na wamekata tamaa kuhusu ndoa
Sent using Jamii Forums mobile app[/Q
kuzaa watoto na baba mwingine tena hapanaNa wewe upo tayari mkuu kuzaa naye?
OK! Najua inayowafanya wadada wengi watamani kuzaa naye ni njaa tu na kutokujitambua.kuzaa watoto na baba mwingine tena hapana
sent from motorola bapa and nokia jeneza
sana tu watu wanaangalia future..OK! Najua inayowafanya wadada wengi watamani kuzaa naye ni njaa tu!
Hahahahaha! Ndo maana juzi kati nilimsikia mmoja kutoka Mombasa anadai ana mimba ya kbakuli.sana tu watu wanaangalia future..
Kwani ana mtoto mwingine licha ya hiyo mimba?Watoto wawili bila ndoa baba tofauti and yet she is so proud.... congrats Hamisa dear.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Lol... anaye kabint alizaa na MajizoKwani ana mtoto mwingine licha ya hiyo mimba?
Duh! Na hana mpango wa kuolewa,yeye shida yake watoto tu! Hongera sana kwake kwa kuishi maisha ya ulimwengu wa kwanzaLol... anaye kabint alizaa na Majizo
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
watu wanaangalia maslahiWatoto wawili bila ndoa baba tofauti and yet she is so proud.... congrats Hamisa dear.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Tusi judge huenda waoaji wapo kwenye mgomo ila kwa kua waliambiwa wafyatue elimu bure basi dada yetu kaamua kuanza wengine wafuatee. lolDuh! Na hana mpango wa kuolewa,yeye shida yake watoto tu! Hongera sana kwake kwa kuishi maisha ya ulimwengu wa kwanza
Maslahi ya kuzaa???watu wanaangalia maslahi