sam2000
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 528
- 337
Hahahhhh sio wote mbona mm bajaj na boda ndo usafiri wangu na daladala siku moja moja
Siamini😉!! Yani jamaa aje kukuchukua na Toyo then apate second date, sidhani!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahhhh sio wote mbona mm bajaj na boda ndo usafiri wangu na daladala siku moja moja
We usiamin hivyohvyoSiamini😉!! Yani jamaa aje kukuchukua na Toyo then apate second date, sidhani!!
Kama hauna makuu nimekupenda bure.kama vp naomba uni pm tufahamiane zaidiHahahhhh sio wote mbona mm bajaj na boda ndo usafiri wangu na daladala siku moja moja
Hatar wadada Mungu anatuona'Can you come and Pick me Up?''
Hii ni sentensi yenye maana kubwa sana
anapokutumia Msichana wa Kimjini-Mjini ambae ndo
umeanza kumrushia punje za mchele adonoe ili aingie
Kingi awe mchuchu. Maana kuu ya Meseji hii: Anataka
kujua UTAKUJAJE KUMPICK...Mademu wa Mjini wanapenda magari asikwambie mtu, liwe na urithi au
umemtoa kafara mamako,maadam ana uhakika
akitoka ndani hatembei kwa mguu na kunuka jasho
kwa daladala basi asilimia 75 ushampata....Kimbembe
ni pale akikwambia Come and Pick Me up halafu
unamzukia kwao Yombo Dovya na Pikipiki ya TOYO...Amini Amini nakuambia,Umeshamkosa huyo
Sasa we jishaue Instagram pale unaposti uko Serena
mara Hyatt basi demu anajua YEESSS...Akisema Come
and Pick me Up we go somewhere for Dinner,unazuka
na Bajaj imeandikwa,
''Hata Maskini anastahili
kupendwa'', Next time ukimwambia can we go dinner utasikia tu, Am so tired leo I had lots of meetings...Sorry
cant make it nna assignment ya kutype...
Come and
Pick me Up inaweza ikakupa au kukukosesha
kabisaaaa, Uionapo Meseji hiyo jua ina maana kubwa
kuliko ufupi wake Shkamooni Wadada wa Mjini
wenye Alergy na Bajaj japo babako Mzazi Phonebook yake imejaa majina yao tu,Dula Bajaj...Bajaj
Sayansi...BajajTandika..Bajaj Mbovu...Bajaj
Side...Shkamooni tena.
Kama kwao yapo ntakuha nalo ikiwezekana siendi kabisa am a little busy'Can you come and Pick me Up?''