Haya Sasa..!! Hili Nalo Ni Balaa Lingine La Wanawake..!!

Kutembea nako juani uso unaungua na jua banah.
We km huna gari bora ukaazime ndo unifate
 
Siku izi hata uwe na vits we weka ile kitu inaitwa crazy ..... ikipita inapiga kelele km mashine mbovu na sticker nyingiii za rallyArt,hot nk
Utaskia awwww baby ur car is soo mwaa yaani nikiskia muungurumo bas nalowa.

Hahaha mtatuua yaani wanajua aina za magari kama fundi garage
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23]
 
'Can you come and Pick me Up?''
Hii ni sentensi yenye maana kubwa sana
anapokutumia Msichana wa Kimjini-Mjini ambae ndo
umeanza kumrushia punje za mchele adonoe ili aingie
Kingi awe mchuchu. Maana kuu ya Meseji hii: Anataka
kujua UTAKUJAJE KUMPICK...Mademu wa Mjini wanapenda magari asikwambie mtu, liwe na urithi au
umemtoa kafara mamako,maadam ana uhakika
akitoka ndani hatembei kwa mguu na kunuka jasho
kwa daladala basi asilimia 75 ushampata....Kimbembe
ni pale akikwambia Come and Pick Me up halafu
unamzukia kwao Yombo Dovya na Pikipiki ya TOYO...Amini Amini nakuambia,Umeshamkosa huyo
Sasa we jishaue Instagram pale unaposti uko Serena
mara Hyatt basi demu anajua YEESSS...Akisema Come
and Pick me Up we go somewhere for Dinner,unazuka
na Bajaj imeandikwa,
''Hata Maskini anastahili
kupendwa'', Next time ukimwambia can we go dinner utasikia tu, Am so tired leo I had lots of meetings...Sorry
cant make it nna assignment ya kutype...
Come and
Pick me Up inaweza ikakupa au kukukosesha
kabisaaaa, Uionapo Meseji hiyo jua ina maana kubwa
kuliko ufupi wake Shkamooni Wadada wa Mjini
wenye Alergy na Bajaj japo babako Mzazi Phonebook yake imejaa majina yao tu,Dula Bajaj...Bajaj
Sayansi...BajajTandika..Bajaj Mbovu...Bajaj
Side...Shkamooni tena.
Hatar wadada Mungu anatuona
 
Thread kama ndizo zinawafanya hawa mabinti Wa siku hizi wawe "viazi"
 
"Dinner,unazuka
na Bajaj imeandikwa,
''Hata Maskini anastahili
kupendwa''..

We jamaa bwana. 🙂
 
'Can you come and Pick me Up?''
Hii ni sentensi yenye maana kubwa sana
anapokutumia Msichana wa Kimjini-Mjini ambae ndo
umeanza kumrushia punje za mchele adonoe ili aingie
Kingi awe mchuchu. Maana kuu ya Meseji hii: Anataka
kujua UTAKUJAJE KUMPICK...Mademu wa Mjini wanapenda magari asikwambie mtu, liwe na urithi au
umemtoa kafara mamako,maadam ana uhakika
akitoka ndani hatembei kwa mguu na kunuka jasho
kwa daladala basi asilimia 75 ushampata....Kimbembe
ni pale akikwambia Come and Pick Me up halafu
unamzukia kwao Yombo Dovya na Pikipiki ya TOYO...Amini Amini nakuambia,Umeshamkosa huyo
Sasa we jishaue Instagram pale unaposti uko Serena
mara Hyatt basi demu anajua YEESSS...Akisema Come
and Pick me Up we go somewhere for Dinner,unazuka
na Bajaj imeandikwa,
''Hata Maskini anastahili
kupendwa'', Next time ukimwambia can we go dinner utasikia tu, Am so tired leo I had lots of meetings...Sorry
cant make it nna assignment ya kutype...
Come and
Pick me Up inaweza ikakupa au kukukosesha
kabisaaaa, Uionapo Meseji hiyo jua ina maana kubwa
kuliko ufupi wake Shkamooni Wadada wa Mjini
wenye Alergy na Bajaj japo babako Mzazi Phonebook yake imejaa majina yao tu,Dula Bajaj...Bajaj
Sayansi...BajajTandika..Bajaj Mbovu...Bajaj
Side...Shkamooni tena.
Kama kwao yapo ntakuha nalo ikiwezekana siendi kabisa am a little busy

Sent from my TECNO-Y2 using JamiiForums mobile app
 
kiboko ya mademu lete fyoko fyoko ukutane na stunter
 
Back
Top Bottom