Haya sasa kimenuka kiwanda cha kusafishq mafuta kujengwa Mombasa sio Tanga mapendekezo ya aliko dangote

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Siasa hadi kwenye miradi mikubwa unaposema tunawapiga mikwaju wewe kilaza ulikuwa na maana gani?
Kasongo amekuingiza chaka wewe ukajilipua eti nilikuwa sijui ndio nimejua kiwanda kinataka kujengwa Tanga ushuzi kabisa
Haya dangote amesema sasa mapendekezo yake ni kujenga Mombasa kenya kwasababu ya kibiashara na eneo husika hata hivyo amesema anamuachia kasongo achague kati ya Mombasa na Tanga wajenge wapi wewe unafikiri kasongo utaichagua Tanga aache Mombasa kwao ?
Kwanini dangote amesema anamuachia kasongo na sio samia wala mseveni?
Hapa dangote anaimini sana kenya kuliko tz na uganda just why amefanya negotiation na kasongo
Ni mradi mkubwa sana just imagine unagharimu billion 14 hadi 17 za kimarekani je Tanga itafaa?
Mikwaju ya ny*kooo wawekezaji wanakukimbia
Source- Dw swahili
 
Post zingine banah
Yaani mkuu unapost kama status vile.
Hakuna chanzo cha habari wala link.
 
Hana hamu kwa alichofanyiwa na JK kwenye kiwanda cha cement.

NB:Hilo bomba kutoka Tanga to Mombasa itabidi serikali ya Kenya iweke pesa kufadhili ujenzi wake au imtafutie DG mbia!

FAIDA: Tax,Ajira,Uhakika wa mafuta ila bei sifikirii kuwepo ahueni.
 
Post zingine banah
Yaani mkuu unapost kama status vile.
Hakuna chanzo cha habari wala link.
Wewe hujaona mwisho DW.swahili au huoni nenda kwenye ukurasa wa DW.swahili utaona.
 
Bomba la mafuta Tanga ni zaidi ya fursa kwa wabongo lakini hatuoni, tunaweza kufungua viwanda vingi sana Kutokana crude oil itakatoyo pitia Tanga, viwanda vya lami, mbolea, textile, petrochemicals, plastics etc vyote vinategemea crude oil, fursa kubwa sana kuliko hata refinery
 
Ruto alivyosutwa hadharani lazima afanye mbinu yoyote kiwanda kijengwe Mombasa.
 
Siasa hadi kwenye miradi mikubwa unaposema tunawapiga mikwaju wewe kilaza ulikuwa na maana gani?
Kasongo amekuingiza chaka wewe ukajilipua eti nilikuwa sijui ndio nimejua kiwanda kinataka kujengwa Tanga ushuzi kabisa
Haya dangote amesema sasa mapendekezo yake ni kujenga Mombasa kenya kwasababu ya kibiashara na eneo husika hata hivyo amesema anamuachia kasongo achague kati ya Mombasa na Tanga wajenge wapi wewe unafikiri kasongo utaichagua Tanga aache Mombasa kwao ?
Kwanini dangote amesema anamuachia kasongo na sio samia wala mseveni?
Hapa dangote anaimini sana kenya kuliko tz na uganda just why amefanya negotiation na kasongo
Ni mradi mkubwa sana just imagine unagharimu billion 14 hadi 17 za kimarekani je Tanga itafaa?
Mikwaju ya ny*kooo wawekezaji wanakukimbia
Source- Dw swahili
Hivi Zanzebar tunaanza kuchimba lini?
 
Bomba la mafuta Tanga ni zaidi ya fursa kwa wabongo lakini hatuoni, tunaweza kufungua viwanda vingi sana Kutokana crude oil itakatoyo pitia Tanga, viwanda vya lami, mbolea, textile, petrochemicals, plastics etc vyote vinategemea crude oil, fursa kubwa sana kuliko hata refinery
kwa serikali ipi?
 
Siasa hadi kwenye miradi mikubwa unaposema tunawapiga mikwaju wewe kilaza ulikuwa na maana gani?
Kasongo amekuingiza chaka wewe ukajilipua eti nilikuwa sijui ndio nimejua kiwanda kinataka kujengwa Tanga ushuzi kabisa
Haya dangote amesema sasa mapendekezo yake ni kujenga Mombasa kenya kwasababu ya kibiashara na eneo husika hata hivyo amesema anamuachia kasongo achague kati ya Mombasa na Tanga wajenge wapi wewe unafikiri kasongo utaichagua Tanga aache Mombasa kwao ?
Kwanini dangote amesema anamuachia kasongo na sio samia wala mseveni?
Hapa dangote anaimini sana kenya kuliko tz na uganda just why amefanya negotiation na kasongo
Ni mradi mkubwa sana just imagine unagharimu billion 14 hadi 17 za kimarekani je Tanga itafaa?
Mikwaju ya ny*kooo wawekezaji wanakukimbia
Source- Dw swahili
Inaonekana hili bomba la EACOP mwisho yake ni Mombasa....Tanga tu ni kupitia ikienda Mombasa kwa sababu hii kiwanda ya Dangote ikijengwa mombasa, mafuta yote itasafishiwa Mombasa
 
Back
Top Bottom