Daniel Adrian
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 311
- 326
Jina langu ni Daniel Adrian. ( Jina langu halisi)
Mara ya mwisho kujihusisha na mahusiano wala siwezi sahau. Ilikuwa kumbukumbu mbaya. Nilishatendwa yani, basi Mwamba nikasema sitaki tena mapenzi wala ndoa.
Ila sasa upweke unaninyong'onyeza sana. Jamani wadau mi nahitaji mwenzi. La sivyo naweza nikafa na huu upweke maana sikujua kama yatanifika shingoni namna hii. Of course nnapoishi kuna watu lakini mpenzi nae ana nafasi yake.
Wewe dada unaesoma ujumbe huu una nafasi nzuri sana ya kuwa mwenzi wangu na kuniondolea upweke. Na nakuahidi utaridhika sana ukiwa na mie maana UAMINIFU ndo sifa yangu kubwa.
+Kama wewe ni mwaminifu kama mie.
+Una umri wa 18 - 28.
+Mkazi wa Dar. (Mimi nipo Dar)
+Dini yoyote
+Elimu angalau hata ya form four tu.
Basi njoo DM tuzungumze zaidi.
Wanawake wafupi sana na wanene sana mnisamehe.
Ni mimi,
D.A
Daniel Adrian.