Haya sasa, Mwenzi anahitajika huku

Haya sasa, Mwenzi anahitajika huku

Daniel Adrian

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2019
Posts
311
Reaction score
326
Jina langu ni Daniel Adrian. ( Jina langu halisi)

Mara ya mwisho kujihusisha na mahusiano wala siwezi sahau. Ilikuwa kumbukumbu mbaya. Nilishatendwa yani, basi Mwamba nikasema sitaki tena mapenzi wala ndoa.

Ila sasa upweke unaninyong'onyeza sana. Jamani wadau mi nahitaji mwenzi. La sivyo naweza nikafa na huu upweke maana sikujua kama yatanifika shingoni namna hii. Of course nnapoishi kuna watu lakini mpenzi nae ana nafasi yake.

Wewe dada unaesoma ujumbe huu una nafasi nzuri sana ya kuwa mwenzi wangu na kuniondolea upweke. Na nakuahidi utaridhika sana ukiwa na mie maana UAMINIFU ndo sifa yangu kubwa.

+Kama wewe ni mwaminifu kama mie.
+Una umri wa 18 - 28.
+Mkazi wa Dar. (Mimi nipo Dar)
+Dini yoyote
+Elimu angalau hata ya form four tu.

Basi njoo DM tuzungumze zaidi.

Wanawake wafupi sana na wanene sana mnisamehe.

Ni mimi,
D.A
Daniel Adrian.
 
Huyo umri wake ushatembea sana.

Halafu mimi sijui kipimo gani anakitumia kwenye kujua aliekomaa kiakili
 
Sababu zilizokufanya ukatendwa hapo awali umezifanyia kazi?
Distance relationship.

Mtoto wa kike alipata scholarship ya kwenda Australia aiseee, akajisahau aiseee! Akashare tunda lake, kurudi ana mimba.
 
Jina langu ni Daniel Adrian. ( Jina langu halisi)

Mara ya mwisho kujihusisha na mahusiano wala siwezi sahau. Ilikuwa kumbukumbu mbaya. Nilishatendwa yani, basi Mwamba nikasema sitaki tena mapenzi wala ndoa.

Ila sasa upweke unaninyong'onyeza sana. Jamani wadau mi nahitaji mwenzi. La sivyo naweza nikafa na huu upweke maana sikujua kama yatanifika shingoni namna hii. Of course nnapoishi kuna watu lakini mpenzi nae ana nafasi yake.

Wewe dada unaesoma ujumbe huu una nafasi nzuri sana ya kuwa mwenzi wangu na kuniondolea upweke. Na nakuahidi utaridhika sana ukiwa na mie maana UAMINIFU ndo sifa yangu kubwa.

+Kama wewe ni mwaminifu kama mie.
+Una umri wa 18 - 28.
+Mkazi wa Dar. (Mimi nipo Dar)
+Dini yoyote
+Elimu angalau hata ya form four tu.

Basi njoo DM tuzungumze zaidi.

Wanawake wafupi sana na wanene sana mnisamehe.

Ni mimi,
D.A
Daniel Adrian.
Mkuuu kote nimekuelewa na ninakuombea wakusome, ila kwenye kigezo cha maumbile hasa unene, Nilitaka nikupe Dadangu ila hofu yangu ni je akinenepa itakuwaje?
 
Back
Top Bottom