Haya sasa tujuane wewe kama mwanaume upo kundi gani hapa?

Haya sasa tujuane wewe kama mwanaume upo kundi gani hapa?

Nyamwi255

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2022
Posts
4,848
Reaction score
12,776
Haya Sasa tujuane wewe kama mwanaume upo namba ngapi au Huwa una react vip I babe wako akikuomba pesa ya Kodi. Na we mwanamke mwanaume wako ulonaye yupo namba ngapi?
"Babe sijalipa Kodi"
1. REAL MEN: "Nitumie namba nilipe ya miezi mitatu
2. A COW: "Utalipa tu usijali"
3. A DOG: "kwani unalipaga kodi?"
4. A RAT: "Sasa utafanyaje"
5. A LIZARD: "wazazi umewaambia? Wamesemaje?"
 
Haya Sasa tujuane wewe kama mwanaume upo namba ngapi au Huwa una react vip I babe wako akikuomba pesa ya Kodi. Na we mwanamke mwanaume wako ulonaye yupo namba ngapi?
"Babe sijalipa Kodi"
1. REAL MEN: "Nitumie namba nilipe ya miezi mitatu
2. A COW: "Utalipa tu usijali"
3. A DOG: "kwani unalipaga kodi?"
4. A RAT: "Sasa utafanyaje"
5. ALIZARD: "wazazi umewaambia? Wamesemaje?"
6.A LION: kwani huna ajira?
 
Ni jukumu la baba, kaka zake, wajomba na wengine wa familia na ukoo wake kumhudumia binti yao ambaye hajaolewa kutia ndani kumlipia kodi

Mwanamke pekee ambaye Mungu amekupa mwanaume jukumu la kumtunza ni mke wako wa ndoa tu

Nakazia hapa ni mke wa ndoa tu, hata kama mwanamke umezaa naye ila hamjafunga ndoa naye pia sio jukumu lako

Mwanaume kamili ambaye sio simp huwa hajipi umuhimu kwenye majukumu yasiyomhusu.

Na huwa yuko direct kumwambia mpenzi wake kuwa sio jukumu lake hapindishi akisema NO kamaanisha
 
Kijana wa hovyo grade one...☹️
Tena nikutandika bakora sasa hivi...😕
Oh mahi
Kijana wa hovyo grade one...☹️
Tena nikutandika bakora s

Ni jukumu la baba, kaka zake, wajomba na wengine wa familia na ukoo wake kumhudumia binti yao ambaye hajaolewa kutia ndani kumlilia kodi

Mwanamke pekee ambaye Mungu amekupa mwanaume jukumu la kumtunza ni mke wako wa ndoa tu

Nakazia hapa ni mke wa ndoa tu, hata kama mwanamke umezaa naye ila hamjafunga ndoa naye pia sio jukumu
Kama sio jukumu lako kumtunza mbona ulimtongoza na kumpelekea moto??
 
Back
Top Bottom