6.A LION: kwani huna ajira?Haya Sasa tujuane wewe kama mwanaume upo namba ngapi au Huwa una react vip I babe wako akikuomba pesa ya Kodi. Na we mwanamke mwanaume wako ulonaye yupo namba ngapi?
"Babe sijalipa Kodi"
1. REAL MEN: "Nitumie namba nilipe ya miezi mitatu
2. A COW: "Utalipa tu usijali"
3. A DOG: "kwani unalipaga kodi?"
4. A RAT: "Sasa utafanyaje"
5. ALIZARD: "wazazi umewaambia? Wamesemaje?"
ni lazma ujue mpango wake ni up baada ya kukosaHiyo mbaya💔
Oh mahiKijana wa hovyo grade one...☹️
Tena nikutandika bakora sasa hivi...😕
Kijana wa hovyo grade one...☹️
Tena nikutandika bakora s
Kama sio jukumu lako kumtunza mbona ulimtongoza na kumpelekea moto??Ni jukumu la baba, kaka zake, wajomba na wengine wa familia na ukoo wake kumhudumia binti yao ambaye hajaolewa kutia ndani kumlilia kodi
Mwanamke pekee ambaye Mungu amekupa mwanaume jukumu la kumtunza ni mke wako wa ndoa tu
Nakazia hapa ni mke wa ndoa tu, hata kama mwanamke umezaa naye ila hamjafunga ndoa naye pia sio jukumu
Ndio jukumu la mpenziOh mahi
Kama sio jukumu lako kumtunza mbona ulimtongoza na kumpelekea moto??