Haya sasa tujuane wewe kama mwanaume upo kundi gani hapa?

Mmekosa cha kufanya njòn amana hospital mjitoleee kufagiaaa
 
Nilikua namba 5.
 
Oh mahi



Kama sio jukumu lako kumtunza mbona ulimtongoza na kumpelekea moto??
Mimi wanawake ninaokuwaa kwenye mahusiano nao sitaki wanipangie matumizi ya pesa zangu

Ni katika nyakati 2 au 3 hivi tu wanawake huwa natumia nao pesa zangu

●Inapohusu mchakato mzima wa kumpiga ukuni

●Tunapotoka wote outing

Ila nje ya hapo sijui salon, kodi, nguo, zawadi n.k huwa situmi na ndipo mahusiano na wanawake wengi huishia. Wengine wakati wa kuachana kwa hasira wananiita mwanaume suruali mi kwangu fuleshi tu nshakula nyapu zao

Ila wapo wachache ambao sio ombaomba mpaka leo ndio mfumo wetu wa maisha
 
Hustler: Unasubirije Kodi iishe naww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…