Haya sasa tujuane wewe kama mwanaume upo kundi gani hapa?

Ahahahahahah we mwamba nina mashaka tulipita course moja na tukasoma module zile zile!!!!! Maana unapita mule mule ambapo na mimi hua napita😂😂😂😂
 
Sijawahi kumlipia demu kodi, sijui kama itakuja kutokea. Nalog out.
Kwangu haitakuja itokee hata siku 1. Na usipoangalia hata hela ya kuja na kurud lodge utajilipia mwenyewe.

Nilishawahi kuchapa manzi moja hiv, alipofika tu hotel akapilizia room sio restaurant, sasa kati kat ya kichapo njaa ikamshika 😂😂
 
Na huyu Dada ni lizard au maana real woman angesema baby Kodi imeisha, mimi Nina 80% niongezee laki 3 basi nilipe......
 
Kwa upande wangu kwakua sikai kwa mwanamke ila ni mpenzi au mchepuko wangu bas huwa nachangia kodi ila sitoi kodi yote
Kodi ni 1 million mi nachangia laki 5
 
Laiti kama wanaume wote wangefanya namna hii vijana wasingekuwa na maisha magumu. Umetisha sana mkuu
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…