Wewe ndio unajua leo mbona miaka mingi tu, nchi za Uganda, rwanda, burundi, sudan kusini, kenya, congo ya goma, kalemie, uvila, baraka wanakula mchele kutoka Tanzania na mchele hutoka igunga, nzega, kaliua, kagongwa, kahama, masumbwe, runzewe , nyakanazi, katoro, kote huko na inafanywa na watanzania na watu wa mataifa husika nao huingia tanzania kuchukua mchele, aina ya mbegu za biashara ambazo hulimwa huko ni Saro, super zambia, na kalamata kama wanavoziita wao,