Siokweli, Mke wangu na Ndugu yangu wakike wote ni waajiriwa tena sehemu nzuri za kazi, Wote wawili wana digree 2 sasa lakini wanatumia Apple... Na wana kipato chakutosha tu.
Mchina alipiga hii kampeni, iPhone ikaacha kutumiwa na madon, ikawa wakifika kwenye meza za biashara wanaume wanaweka HUAWEI na brand zingine na siyo iPhone..kuogopa kuonekana ni mademu wasio na ndoa!
Soko la iPhone China lipo chini.
Everyday is Saturday.........................π
Macho madogo ni don game changer con artist, fayaaa weka mbali na watoto...Umekubali kuwa mchina ni Game Changer eeeeh,na ndiye pia aliyebadili mfumo wa maisha kupitia CORONA
Huna hela ya iPhone acha kujifariji
Kama wanalipwa chini ya 10m na hawana degree kama R. Mugabe bado haitoshi kuwaondoa kwenye utafiti, utafiti unawahusu tuSiokweli, Mke wangu na Ndugu yangu wakike wote ni waajiriwa tena sehemu nzuri za kazi, Wote wawili wana digree 2 sasa lakini wanatumia Apple... Na wana kipato chakutosha tu.