Haya sasa, watumiaji wa iPhone mnaojisikia, someni hii

Haya sasa, watumiaji wa iPhone mnaojisikia, someni hii

Siokweli, Mke wangu na Ndugu yangu wakike wote ni waajiriwa tena sehemu nzuri za kazi, Wote wawili wana digree 2 sasa lakini wanatumia Apple... Na wana kipato chakutosha tu.

Waangalie wanawake wasio ktk mfumo rasmi wa ajira wenye simu hizo halafu njoo tena utoe maelezo yako hapa mkuu
 
Mchina alipiga hii kampeni, iPhone ikaacha kutumiwa na madon, ikawa wakifika kwenye meza za biashara wanaume wanaweka HUAWEI na brand zingine na siyo iPhone..kuogopa kuonekana ni mademu wasio na ndoa!

Soko la iPhone China lipo chini.

Everyday is Saturday.........................😎

Umekubali kuwa mchina ni Game Changer eeeeh,na ndiye pia aliyebadili mfumo wa maisha kupitia CORONA
 
Ujue watumiaji wa Tecno tuna njia nyingi za kujifariji, kongole kwako mtoa mada agiza Pepsi bariiidi!! 😎
 
Umekubali kuwa mchina ni Game Changer eeeeh,na ndiye pia aliyebadili mfumo wa maisha kupitia CORONA
Macho madogo ni don game changer con artist, fayaaa weka mbali na watoto...
Mzungu arudi kwenye drawing table aanze na plan upya!
Mzungu alimu underestimate mchina, mchina naye kinafiki akajifanya mbumbumbu na kumdanganya mzungu akamu-overrate kinafiki...
Mzungu akajisahau akajua wale wale Waafrika!
Dharau za TRUMP zimewacost WEST vibaya!

Everyday is Saturday.......................... 😎
 
Hizi ni dalili za kutokuwa na hela ya kununua Iphone...! Pumbafu kabisa, njoo uchukue hii iphone six mimi nikanunue 8.
 
Dah..halafu kitu cha ajabu ukimuuliza kwanini anatumia iPhone na wala siyo android..atakwambia ni BEI...ujinga mtupu 😎
 
Siokweli, Mke wangu na Ndugu yangu wakike wote ni waajiriwa tena sehemu nzuri za kazi, Wote wawili wana digree 2 sasa lakini wanatumia Apple... Na wana kipato chakutosha tu.
Kama wanalipwa chini ya 10m na hawana degree kama R. Mugabe bado haitoshi kuwaondoa kwenye utafiti, utafiti unawahusu tu
 
We sema Umekosa hela ya kununua iphone, inaonekana kabisa umetumia Itel au Tecno .! Shubamiit
 
Back
Top Bottom