mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
wabongo mna maneno sana😂 hii 'papai bivu' nimekuja kujulia humu....Kwani mapapai wote ndo wamelelewa kupitia hayo malezi? Yaan wabongo khaaaah.
Mtu kuwa papai anaamua mwenyewe, malezi ni kiasi kidogo tyuuh.