Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hao mazuzu wachana nao
Unadhani mgombea urais asipopitishwa na chama chake hawezi kugombea ubunge?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani mgombea urais asipopitishwa na chama chake hawezi kugombea ubunge?
Kama ni hivyo huko Chadema wanakusanyaje pesa, Gambo ameondoka na michango ya wanafunzi waliopata ajari Arusha, hosipitali sliyodai itajengwa hatuioni.Ni kweli,zingine zipo pale Manispaa kwaajili ya kupewa vijana.Lakini tambua Takukuru haipo kwaajili ya kazi hiyo,kazi yao ni kukusanya Pesa kama TRA
Na chadema wagawe bajaji na waziwekee rangi nyeupe bluu na nyekunduHii ni wazi CCM kupitia Polepole wamegawa Bajaji kwa vijana wa mjini Iringa, Takukuru ni jukumu lenu kuangalia kama kuna uhusiano wa bajaji, Msigwa na uchaguzi.
Bajaji hizi si za kuzitafuta kwani zinarangi ya kijani na njano.
Comment ya kijinga sana hii. Ila najua utabisha sababu hujui ujinga uliouandika...Bado wa Tz wanakumbatia chama cha kizamani huku waafrika wenzao wakienda na mabadiliko kwa kuachana na vyama vilivyo dai uhuru.
Msigwa Ni mgombea urais acha uoga
Kwenye uraisi Msigwa anafurahisha genge tu.Kwani Msigwa anagombea nafasi mbili huko chadema?
Nani kakwambia TAKUKURU/TAKAKURU inahusika na Rushwa? Hii ipo kwa ajili ya CDM.Hii ni wazi CCM kupitia Polepole wamegawa Bajaji kwa vijana wa mjini Iringa, Takukuru ni jukumu lenu kuangalia kama kuna uhusiano wa bajaji, Msigwa na uchaguzi.
Bajaji hizi si za kuzitafuta kwani zinarangi ya kijani na njano.
Umebadili avatar bado umeshindwa kuficha upumbavu wakoKwani Msigwa anagombea nafasi mbili huko chadema?
Hi ndio mfano sahihi wa namna tusipotumia majeshi yetu vizuri tunaweza kuyafanya yadharaulike Sasa imagine mkuu wa takukuru ni jenerali wa jwtz lakini ndio wakati ambao chombo hiki kimedharauliwa sana na wananchi.Nani kakwambia TAKUKURU/TAKAKURU inahusika na Rushwa? Hii ipo kwa ajili ya CDM.
Ni taasisi ya kishetani yenye malengo ya kiibilisiSidhani kama hiyo taasisi inaweza kushughulika na vigogo wa ccm
Anaweza kuwa sahihi, badala ya kumtukana ungemtaka akupe sababu, ila ukweli upo nchi nyingi zimebadilika. Tatizo la vyama hivyo yangu mwanzo vilijikita kwenye kutumia nguvu za vitisho na kutumia vyombo vya dola kujipatia ushindi.Comment ya kijinga sana hii. Ila najua utabisha sababu hujui ujinga uliouandika...