Haya tumeshamalizana na Chato Dhahabu Nyota FC, hivyo Jumamosi 'anakufa' kati ya Goli 4 hadi 6 pale Sukuma City

Swali kuntu sana
Kuntu kwa vichwa vyepesi na wasioujua mpira wa bongo. Shabiki andazi ambao moo mpo tu.

Yanga haiwezi kupata ubingwa bila kuhakikisha Simba inafungwa. Huyu ndiye mshindani wake Mkuu. Ubora wa Yanga haina maana kupata ubingwa wakat Simba ikishinda mechi zake. Weka pesa/ bahasha wafungwe.

Simba ifungwe lkn Sisi tukaze buti tushinde. Pale penye ugumu weka hela pia.
 
Kuna haja gani ya kujisifu hapa JF kwa watu wasiokujua? Jenga mawasiliano mazuri na watu na achana na lugha za hovyo wewe ni mtu mzima sasa acha kujitoa ufahamu.
ANGALIZO

Ukijijua tu HUMPENDI na UNAMCHUKIA mno GENTAMYCINE na HUMKUBALI wala HUVUTIWI na MADA ( THREADS ) zake Kutwa hapa JamiiForums cha kufanya ni KUACHANA nae au MBLOKU ( IGNORE ) na endelea KUWASOMA MEMBERS wako ambao UNAWAPENDA, UNAWAKUBALI na unawaona ni BORA KWAKO na uniachie / uwaache wale MEMBERS Wanaonielewa waendelee KUHABARIKA, KUELIMIKA na KUBURUDIKA nami hapa JamiiForums.

Kitendo cha Kujijua huwa HUNIPENDI, HUNIKUBALI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI Wangu hapa JamiiForums halafu bado tena UNAWASHWAWASHWA nami kama MBWA JIKE anayetaka KUPANDWA kunaonyesha kuwa UNANIKUBALI ( UNANIPENDA ) hadi KUMOYO na huku KUNICHUKIA Kwako ni KUZUGA tu.

Na bahati nzuri au mbaya nikianzisha MADA ( THREAD ) hapa huwa SIMUITI au SIMLAZIMISHI Mru Kusoma hivyo sitaki SHOBO za ki MAGOMENI MAPIPA KWA MACHENI.

Nimemaliza.
 
Yanga hata iwe km man City, mshindani wake Ni Simba, bila Simba kupoteza Yanga haiwezi kuwa bingwa wa ligi.

Usichoelewa!
Wanahonga Simba ifungwe wakati wao wakikaza buti kushinda mechi zao.

Vitu vidogo tu kuelewa lkn unaandika utumbo. Umeanza ushabiki lini.
Nasikitika unatumia Nguvu Kubwa kuielimisha hiyo Mipumbavu ya Jangwani iliyojazana hapa.
 
Kuntu kwa vichwa vyepesi na wasioujua mpira wa bongo. Shabiki andazi ambao moo mpo tu.

Yanga haiwezi kupata ubingwa bila kuhakikisha Simba inafungwa. Huyu ndiye mshindani wake Mkuu. Ubora wa Yanga haina maana kupata ubingwa wakat Simba ikishinda mechi zake. Weka pesa/ bahasha wafungwe.

Simba ifungwe lkn Sisi tukaze buti tushinde. Pale penye ugumu weka hela pia.
Nasikitika unatumia Nguvu Kubwa kuielimisha hiyo Mipumbavu ya Jangwani iliyojazana hapa.
 
Sasa wewe timu yako dhaifu inashinda mechi kipapatupapatu itakuwaje timu Bora ya yanga ishindwe kushinda? Kati ya timu yako na yanga ipi ni timu Bora? Yaani timu mbovu ikishinda ni sawa Ila timu Bora ikishinda ni wamehonga? Akili za wapi hizi🤔🤔🤔, Yanga KUFUNGWA na ihefu aiondoi ubora wao na Wala aimaanishi kwamba wataendelea KUFUNGWA, mpira auko ivyo juzi kati man city kagongwa vizuri tu licha ya ubora wao na iyo aiondoi ubora wao na kombe watabeba Tena, ivyo punguzeni midomo ligi ndiyo imeanza rasmi msifikiri yanga atateleza Tena kiboya chukueni tahadhari
Unateseka na Ushindi wa Simba SC wa jana kule Mkoani Mbeya na Kuongoza rasmi Ligi Kuu kwa Kukuzidi Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) ukiwa wapi?
 
Akiweza Kujibu HOJA kama Hiyo ninajitoa Jamii Forum.

Jana tu nimetoka ku COMENT kwamba

Dawa ya Rushwa, Hongo, Takrima nk ni .....

1. kufanya Usajili mzuri WA wachezaji.

2. Kuwa na Scaut Bora ya kunasa wachezaji wazuri.

3.kuwa na Technique Bench Bora zaidi la ufundi.

4. Kuwa na Facilities Bora za MICHEZO ZENYE Kila kitu Eg Avic town.

5.Kuwa na wawekezaji Bora.

6. Na hata Mashabiki WANAO Jielewa nk...
ANGALIZO

Ukijijua tu HUMPENDI na UNAMCHUKIA mno GENTAMYCINE na HUMKUBALI wala HUVUTIWI na MADA ( THREADS ) zake Kutwa hapa JamiiForums cha kufanya ni KUACHANA nae au MBLOKU ( IGNORE ) na endelea KUWASOMA MEMBERS wako ambao UNAWAPENDA, UNAWAKUBALI na unawaona ni BORA KWAKO na uniachie / uwaache wale MEMBERS Wanaonielewa waendelee KUHABARIKA, KUELIMIKA na KUBURUDIKA nami hapa JamiiForums.

Kitendo cha Kujijua huwa HUNIPENDI, HUNIKUBALI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI Wangu hapa JamiiForums halafu bado tena UNAWASHWAWASHWA nami kama MBWA JIKE anayetaka KUPANDWA kunaonyesha kuwa UNANIKUBALI ( UNANIPENDA ) hadi KUMOYO na huku KUNICHUKIA Kwako ni KUZUGA tu.

Na bahati nzuri au mbaya nikianzisha MADA ( THREAD ) hapa huwa SIMUITI au SIMLAZIMISHI Mru Kusoma hivyo sitaki SHOBO za ki MAGOMENI MAPIPA KWA MACHENI.

Nimemaliza.
 
Pole sana Mkuu.
Huyu ni Moja kati ya wale WATU wa WAPUMBAVU mno.

Hana hoja na Hawezi akajibu hoja za MSINGI kama ulizo ziorodhesha.

AMEKAA UMBEA, ujuaji, Masifaa ya Kijinga na Kutafuta attention na UMAARUFU usio na msingi.

ANAANDIKA Kila Baada ya Dakika Nyuzi as if JJJF Inawalipa WATU wa namna yake.

Nimemuweka kwenye kundi la
GENARA.
ANGALIZO

Ukijijua tu HUMPENDI na UNAMCHUKIA mno GENTAMYCINE na HUMKUBALI wala HUVUTIWI na MADA ( THREADS ) zake Kutwa hapa JamiiForums cha kufanya ni KUACHANA nae au MBLOKU ( IGNORE ) na endelea KUWASOMA MEMBERS wako ambao UNAWAPENDA, UNAWAKUBALI na unawaona ni BORA KWAKO na uniachie / uwaache wale MEMBERS Wanaonielewa waendelee KUHABARIKA, KUELIMIKA na KUBURUDIKA nami hapa JamiiForums.

Kitendo cha Kujijua huwa HUNIPENDI, HUNIKUBALI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI Wangu hapa JamiiForums halafu bado tena UNAWASHWAWASHWA nami kama MBWA JIKE anayetaka KUPANDWA kunaonyesha kuwa UNANIKUBALI ( UNANIPENDA ) hadi KUMOYO na huku KUNICHUKIA Kwako ni KUZUGA tu.

Na bahati nzuri au mbaya nikianzisha MADA ( THREAD ) hapa huwa SIMUITI au SIMLAZIMISHI Mru Kusoma hivyo sitaki SHOBO za ki MAGOMENI MAPIPA KWA MACHENI.

Nimemaliza.
 
Kwani kila anachosema popoma kina ukweli? Hayo mawazo yake achana nae.
Wataachana vipi na Mimi wakati kila Siku wakiongozwa na Rais wa Ujuha ( Foolishness ) hapa Jamvini CAPO DELGADO na Makamu wake LIKUD Wanahubiri Kunichukia GENTAMYCINE lakini cha Kushangaza ndiyo hao hao Wanaongoza kwa Kunifuatilia na Kunisoma hapa.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
 
Na kuna haja gani ya kutumia mamilioni/mabilioni kufanya usajili wa wachezaji mbalimbali, wakati timu za kwenye ligi zinaweza kununulika kirahisi..?? Kwanini hizo hela zisitumike kununulia mechi za ligi…???
Nikiitoa hapa hadharani Siri Kubwa niliyopewa na Mchezaji Mwandamizi wa Mtibwa Sugar FC na Kocha wao Fulani ( Kipa wa Zamani ) juu ya Yanga SC na Kampuni yao ya Kitapeli inayowadhamini juu ya Rushwa waliyowapa Mechi yao ya Manungu Msimu ulioisha akina TAKUKURU na TFF Wakiithibitisha leo hii hii Yanga SC yako inapokwa Ubingwa na hata Kufungiwa na CAF sawa?

Kaa mbali kabisa na hii ID yangu Ok?
 
Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye.

Mithali 26:4
 
Kuntu kwa vichwa vyepesi na wasioujua mpira wa bongo. Shabiki andazi ambao moo mpo tu.

Yanga haiwezi kupata ubingwa bila kuhakikisha Simba inafungwa. Huyu ndiye mshindani wake Mkuu. Ubora wa Yanga haina maana kupata ubingwa wakat Simba ikishinda mechi zake. Weka pesa/ bahasha wafungwe.

Simba ifungwe lkn Sisi tukaze buti tushinde. Pale penye ugumu weka hela pia.
Wekeni Hela mpate kundi rahisi CAF CL
 
Kesho kama yondani atakuwa mkoba,yanga anashinda nyingi...ila kama hataanza imekula kwao
 
Sielewagi kila mara Yanga kuhusishwa na kuhonga/ kutoa rushwa ili ishinde.
1. Je, Yanga haina timu nzuri, na hvyo haijiamini??
2. Je, kama mpk mtu baki anajua, bodi ya ligi haijui na kuichukulia hatua Yanga..???
3. Yanga wanahela nyingi kiasi cha kununua kila mechi mpaka bodi ya Ligi…?? ( Hii ni kwa sababu kila inapotokea wameshinda, watu husema Yanga wamenunua mechi..!!)
4. Timu zingine ni maskini kiasi gani na hawataki ubingwa/ushindi kiasi gani mpaka wakubali kununuliwa na Yanga..??
5. Ubingwa wa Simba mara 4 mfululizo haukuhusisha kununua gimu yoyote..??
6. Ubingwa wa Yanga mara 2 mfululizo ulitokea kwa sababu alinunua mechi nyingi au ni juhudi za wachezaji…??
7. Simba alishawahi kutaka kununuliwa akakataa?? Na kama alikataa kwanini asiripoti bodi ya ligi..??
8. Kama ameweza kununua TIMU ZINGINE ZOTE, kwanini asiwe bingwa MIAKA YOTE mpk akaruhusu Simba akachukua ubingwa mfululizo..??

Nway, hayo ni maswali machache kati ya mengi kuhusiana na hiyo tuhuma ya Yanga kununua matches kila siku. Na nadhani watuhumu wengi hawana UHAKIKA THABITI wa tuhuma wanazotoa zaidi ya kuongea wakiongozwa na ushabiki na upenzi wa timu zao wanazoshabikia.
Yaani unakaa kumjibu POPOMA? Hauko serious mkuu
 
Kujibu namba 3 hapo juu,mipesa ya wizi serikalini ndiyo inatumika.

Fuatilia vzr historia,ufisadi ukidhibitiwa huwa hawafanyi vzr maana wanakuwa hawana hela
 
Sielewagi kila mara Yanga kuhusishwa na kuhonga/ kutoa rushwa ili ishinde.
1. Je, Yanga haina timu nzuri, na hvyo haijiamini??
2. Je, kama mpk mtu baki anajua, bodi ya ligi haijui na kuichukulia hatua Yanga..???
3. Yanga wanahela nyingi kiasi cha kununua kila mechi mpaka bodi ya Ligi…?? ( Hii ni kwa sababu kila inapotokea wameshinda, watu husema Yanga wamenunua mechi..!!)
4. Timu zingine ni maskini kiasi gani na hawataki ubingwa/ushindi kiasi gani mpaka wakubali kununuliwa na Yanga..??
5. Ubingwa wa Simba mara 4 mfululizo haukuhusisha kununua gimu yoyote..??
6. Ubingwa wa Yanga mara 2 mfululizo ulitokea kwa sababu alinunua mechi nyingi au ni juhudi za wachezaji…??
7. Simba alishawahi kutaka kununuliwa akakataa?? Na kama alikataa kwanini asiripoti bodi ya ligi..??
8. Kama ameweza kununua TIMU ZINGINE ZOTE, kwanini asiwe bingwa MIAKA YOTE mpk akaruhusu Simba akachukua ubingwa mfululizo..??

Nway, hayo ni maswali machache kati ya mengi kuhusiana na hiyo tuhuma ya Yanga kununua matches kila siku. Na nadhani watuhumu wengi hawana UHAKIKA THABITI wa tuhuma wanazotoa zaidi ya kuongea wakiongozwa na ushabiki na upenzi wa timu zao wanazoshabikia.
Kuna watu humu ukiona thread zào wewe pita pembeni. Hata wao hawajui wameandika nini Kwa hiyo haya uliyouliza hutapata jibu sahihi.
 
Baada ya Kuwaudhi Mashabiki katika Mashamba ya Mpunga na kuachwa rasmi Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) na Mabingwa wa NBC Premier League kwa Msimu wa 2023/2024 ili Kurejesha Imani yao Kwetu Kigamboni Wavuvi FC tumeamua Kumalizana (Kuwahonga ) tutakakutana nao Keshokutwa Jumamosi ili siyo tu tuwafunge bali tuwafunge Goli nyingi kuanzia 4 hadi 6 ili nchi itulie.

Na Mzigo amepewa aliyekuwa Mchezaji wetu wa zamani wa Simba SC na hata Wao pia ( aishiye Mbezi Kimara Jirani na Makazi ya akina Haruna Moshi, Danny Mrwanda na Mwanamuziki Mtangazaji Jose Mara ) ili autembeze na Wachezaji Maswahiba wa Timu husika ili Walegeze ( wacheze chini ya Kiwango ) huku akishirikiana na Mlopolopo wao ( Kihabari na Mawasiliano ) ambaye ni mwana Kigamboni Wavuvi FC lia lia na zamani alikuwa akifanya Kazi katika Media ya Marehemu Mchagga Tajiri aliyeacha Ugomvi wa Kisheria wa Mjane wake na Wanawe wakubwa Wawili juu ya Urithi wa Mali za Marehemu Baba yao na Mama yao aliyetangulia kabla ya Baba yao.
Lutindi inakuhusu. Maana dishi linakaribia sasa kuanguka.
 
Back
Top Bottom