Haya wana Yanga SC kaandamaneni CAF kwani CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez 'aula' huko

Big up Senzo Kwa pande muruuua Kwa Motsepe, kinachofuatia ni safari za mara Kwa mara za vikao vya Caf Tena inaweza kua nje ya Africa. Maana Senzo alicho mwambia mshakajiwake kuwa yule udhaifu wake anapenda Publicity Sasa tuanze na Chambo kikubwa.
Hongera Makamu Rais wa kamati ya mashindano ya Caf, CEO mkali Kwa sura na umbo. Unastahili kula mema ya nchi wewe ni mwanamke kijana, Nenda kale Bata.
 
Sasa nadhani Memelewa kwanini Simba inapostiwa sana huko interclub competition CEO wa simba ndio makamu mwenyekiti wa hiyo kamati kwa yanga mkipostiwa huko ni kejeli kwa kwenda mbele mjiandae kisaikolojia
 
Timu kubwa haina kocha
Timu kubwa inamakocha wa kuunga unga?
 
Ungekuwa na akili timamu ungeelewa ukubwa wa Simba kwa vile una za kwendea chooni tu huwezi kuelewa.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Itakuwa ni Karia tu kapitisha jina lake halafu akakata la CEO wetu 😂😂😂😂😂
 
hvi kweli unadhani manara ataweza chafua kitu kilichotakaswa labda akajichafue ngozi yake ile na pua kama nguruwe. nilishakaa karibu na manara sehemu fulani kwanza anakaharufu ka ngozi alaf ghafla hewa iliisha maana anavuta pumzi nyingi na pua lake kama rejeta[emoji23][emoji23]
 
Sasa kwani hersi ni c.e.o? Unamlinganishaje na babra?
 
Marshall Takadini toa neno wananchi waliamshe hadi CAF wamteme Barbara. Neno lako moja tu linatosha wananchi wanakuelewa sana
 
Wamatumbi na watu weusi kamwe hawataendelea mnachuki za ajabu, sasa kuteuliwa tu kwa mtu mmoja mwengine anahusikaje hizi vitu ndio zinaleta chuki. ebu acheni hizi vitu
 
CEO wa Simba SC Barabara Gonzalez aula CAF kwa Cheo Kikubwa kama Mwanamke wa Kwanza na pia kutokea Tanzania.

Ukiwa Simba SC Dunia itakutambua tu kwani ndiyo Timu pekee yenye Mashabiki Werevu na Wasomi Tanzania nzima.
Huna moral authority ya kuzungumzia hili suala. Wewe unaongoza katika orodha ya wanompinga na kumchafua Barbara hapa jukwaani. Kifupi Manara unayemtuhumu ni afadhali mara kumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…