Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Wewe pia ni zao la miti.cheo cha kupigwa miti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe pia ni zao la miti.cheo cha kupigwa miti
Ameula kwa kweli... hongera kwake
Timu kubwa inamakocha wa kuunga unga?Mwambieni Haji Manara wenu kuwa anajisikiaje kuwa pamoja na Kumchafua Kutwa CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez ila bado wenye Akili Kubwa Watu wa CAF wamempa Cheo Kipya, Kikubwa na cha Heshima ndani ya CAF na Mpira wa Afrika
Mkiambiwa Simba SC ni Timu Kubwa na kamwe msijifananishe nayo muwe mnatuelewa sawa?
Injinia Hersi Said ( Rais wa Yanga SC ) ataishia tu kuwa Rais hapo Kwenu ila huku Kwingine ni Maji Mazito Kwake kwani huwa hakuna Uswahili, Wivu na Majungu aliyoyazoea na mnayoyazoea.
Ungekuwa na akili timamu ungeelewa ukubwa wa Simba kwa vile una za kwendea chooni tu huwezi kuelewa.Hakuna uhusiano wowote wa barbara na eti simba kuwa ni timu kubwa
Ina ukubwa gani?
Labda ungesema jina kubwa
Ukubwa huo katika nini?juzi hapa chupuchupu kupoteza kwa Kmc bila juhudi za mwamuzi mlikua mmelala
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Kapigwe na wewe miti basi ,Utopolo wa hivyo kabisa .Mtu akifanya vizuri muwe mnakubali tu.cheo cha kupigwa miti
Hapana sio jina lako ila nafsi yakoHuyu aliyeanzisha huu Uzi ndiyo MImi?
Itakuwa ni Karia tu kapitisha jina lake halafu akakata la CEO wetu 😂😂😂😂😂Mwambieni Haji Manara wenu kuwa anajisikiaje kuwa pamoja na Kumchafua Kutwa CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez ila bado wenye Akili Kubwa Watu wa CAF wamempa Cheo Kipya, Kikubwa na cha Heshima ndani ya CAF na Mpira wa Afrika
Mkiambiwa Simba SC ni Timu Kubwa na kamwe msijifananishe nayo muwe mnatuelewa sawa?
Injinia Hersi Said ( Rais wa Yanga SC ) ataishia tu kuwa Rais hapo Kwenu ila huku Kwingine ni Maji Mazito Kwake kwani huwa hakuna Uswahili, Wivu na Majungu aliyoyazoea na mnayoyazoea.
Na kamwe siwezi kufanana na hilo Kubwa la Mataahira hapa Jamvini Mkuu sawa?@Matola sio GENTAMYCINE
Sasa kwani hersi ni c.e.o? Unamlinganishaje na babra?Mwambieni Haji Manara wenu kuwa anajisikiaje kuwa pamoja na Kumchafua Kutwa CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez ila bado wenye Akili Kubwa Watu wa CAF wamempa Cheo Kipya, Kikubwa na cha Heshima ndani ya CAF na Mpira wa Afrika
Mkiambiwa Simba SC ni Timu Kubwa na kamwe msijifananishe nayo muwe mnatuelewa sawa?
Injinia Hersi Said ( Rais wa Yanga SC ) ataishia tu kuwa Rais hapo Kwenu ila huku Kwingine ni Maji Mazito Kwake kwani huwa hakuna Uswahili, Wivu na Majungu aliyoyazoea na mnayoyazoea.
Amekuwa makamu mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya mashindano ya vilabu..kama haya ya club bingwa Africa, confederation nk. Mwakani tutampangia utopolo aanze na Al AhlyGENTAMYCINE hujasema cheo gani CEO wetu amepata
Wamatumbi na watu weusi kamwe hawataendelea mnachuki za ajabu, sasa kuteuliwa tu kwa mtu mmoja mwengine anahusikaje hizi vitu ndio zinaleta chuki. ebu acheni hizi vituMwambieni Haji Manara wenu kuwa anajisikiaje kuwa pamoja na Kumchafua Kutwa CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez ila bado wenye Akili Kubwa Watu wa CAF wamempa Cheo Kipya, Kikubwa na cha Heshima ndani ya CAF na Mpira wa Afrika
Mkiambiwa Simba SC ni Timu Kubwa na kamwe msijifananishe nayo muwe mnatuelewa sawa?
Injinia Hersi Said ( Rais wa Yanga SC ) ataishia tu kuwa Rais hapo Kwenu ila huku Kwingine ni Maji Mazito Kwake kwani huwa hakuna Uswahili, Wivu na Majungu aliyoyazoea na mnayoyazoea.
Huna moral authority ya kuzungumzia hili suala. Wewe unaongoza katika orodha ya wanompinga na kumchafua Barbara hapa jukwaani. Kifupi Manara unayemtuhumu ni afadhali mara kumi.CEO wa Simba SC Barabara Gonzalez aula CAF kwa Cheo Kikubwa kama Mwanamke wa Kwanza na pia kutokea Tanzania.
Ukiwa Simba SC Dunia itakutambua tu kwani ndiyo Timu pekee yenye Mashabiki Werevu na Wasomi Tanzania nzima.