Haya Wazee wa connection mtuambie kuna habari gani huko Twitter Naona kuna raia kaliamsha tena dude

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Habari Wadau wa humu?

Nisiwachoshe wala kuchoshana humu?

Ipo hivi huko Twitter kuna connection zinatembea kwamba eti katika wale COVID19 kuna mmoja wao eti kaachia vitu vya dakika kadhaa akiwa anajirecord amepanda juu ya nini sijui? Nafikili ni mtu amepanda juu ya mtu,

Sasa basi na jina lake ni jina maarufu sana gumu gumu flani hivi sijui๐Ÿค” basi huko kuna fukuta Moto kila mtu anataka kuona video hiyo je ni kali kiasi gani je itaipita mpaka ya @diamondplatnum waah ama.

Najua humu kuna watu wa connection nami mnitupie kwa ka inbobo kangu๐Ÿ˜ nami nimuone huyo COVID19 mmoja wapo.


๐Ÿค’๐Ÿคฆ๐Ÿคช๐Ÿƒ
 
Ukiiona utafaidika nini?

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… mwandiko wako hauonyeshi kama kuna wakati unauhitaji ubuyu๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Mwandiko upi tena dear?, ebu acha kunibania connection mi natumia ubuyu ujue๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€, hazijambo lips zako amazing!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ