Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
Haki nimecheka kwa sauti ujue 😆😆Ntafurahi dear vilips😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haki nimecheka kwa sauti ujue 😆😆Ntafurahi dear vilips😀
Ntafurahi dear vilips[emoji3]
Dar imenuesha, yategemea uko upande gani. Wilaya ya kinondoni sehemu kubwa ilipiga mvua ya kutosha kama dk 15...ndio maana krismasi ya mwaka huu mvua haijanyesha dar na dodoma.
Sijatamani jamani naviappreciate tu au pia ni kosa mkuu😀? Nawewe usitamani lips za mke wa mwanaume mwenzio ni dhambi😛Imeandikwa usitamani lips za mwanamke mwenzio, kwa maana hauna kazi nazo![emoji39]
Sijatamani jamani naviappreciate tu au pia ni kosa mkuu[emoji3]? Nawewe usitamani lips za mke wa mwanaume mwenzio ni dhambi[emoji14]
Hakuna kitu huwa napenda kama hiyo emoji ambayo huwa unatumia inavyoonekana upande wa browser!😁😁😁Ooh thank you Dr., Hadi waheshimiwa huwa wanajirecodigi kumbe🙄
Babe wa kaka angu huyu hamna cha kupigiwa pande hapa. 😬😬Mke wa mtu anaingiaje hapa, cha kufanya nipigie pande kwa Chakorii ili nipate kukusimulia kama yaliyomo yamo!
Babe wa kaka angu huyu hamna cha kupigiwa pande hapa. [emoji51][emoji51]
Naomba connection [emoji847]
Yeuwii inaonekanaje mkuu! Naogopaa😀Hakuna kitu huwa napenda kama hiyo emoji ambayo huwa unatumia inavyoonekana upande wa browser!😁😁😁
Kwanza ni mtoto huyu under 18 sasa kama unataka uende jela urudi ukiwa kibabuu sema..😛Ni wivu tu![emoji30]
Acha kunibania bwana
Alimaanisha Dodoma ya Chattle nadhaniDodoma mvua nyingi sana tangia juzi,na hata sasa inanyesha.
Uzuzu hauna cheo mpendwaOoh thank you Dr., Hadi waheshimiwa huwa wanajirecodigi kumbe🙄
Imefungiwa ndio ila nashangaa msemaji mkuu wa serikali admn anapost kupitia huo ukurasaTwitter si imefungiwa na meko?