Haya Wazee wa connection mtuambie kuna habari gani huko Twitter Naona kuna raia kaliamsha tena dude

Stori tu hizo hakuna video wala nini maana tangu waseme hayo wiki imekata na hakuna hiyo video.
 
Mwandiko upi tena dear?, ebu acha kunibania connection mi natumia ubuyu ujue😀😀, hazijambo lips zako amazing!
Mwandiko wako unakaa kiinosenti yani.
Huo ubuyu inaonekana unapilipili washa😅😅
Itakuwa unautumia lkni kwa mbali mno🤪🤪

Hazijambo kabisa zimetulia tu zikisubiria zipakwe lipgloss
 
aiseh mambo sio mambo
 
Mwandiko wako unakaa kiinosenti yani.
Huo ubuyu inaonekana unapilipili washa😅😅
Itakuwa unautumia lkni kwa mbali mno🤪🤪

Hazijambo kabisa zimetulia tu zikisubiria zipakwe lipgloss
Hahaa! Ubuyu natumia sana tu tena wenye pilipili ndiyo hasaa! Afu mwandiko mbona huwa naandika kawaida tu🤫
 
Si mlisema kaolewa na mzee mdee?🍷🍾🍸🍹🥂🍺🍡🍿🍿
 
Tufanye maombi ya siku tatu hii connection isitupite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…