Haya Wazee wa connection mtuambie kuna habari gani huko Twitter Naona kuna raia kaliamsha tena dude

Sijatamani jamani naviappreciate tu au pia ni kosa mkuu[emoji3]? Nawewe usitamani lips za mke wa mwanaume mwenzio ni dhambi[emoji14]

Mke wa mtu anaingiaje hapa, cha kufanya nipigie pande kwa Chakorii ili nipate kukusimulia kama yaliyomo yamo!
 
Tunasubiri video ya wa twiter itufikie sisi wa Jf. Kweli tutaona mwaka ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ