Haya yakifanyika uhalifu utaisha, panya road watakwisha na raia watakuwa wanalala milango wazi hadi asubuhi

Kuveta anamjua huyo mwamba.
Ni mmoja ya members wa Yosso kundi la fire.
Umri umeenda hio ni flashback yake
Hapo sawa mkuu, inawezekana hata mimi namfahamu ila ndo hivyo umri umeenda kwahiyo ni ngumu sura yake kutambulika vizuri.
 
Duuuu! Muda wote wewe unawaza JPM tu. Move on ndugu yangu, hii ni dunia tu, watu huja na kupita.
 
Mama amrudishe Mrema walinzi wa mambo ya ndani akomeshe uhalifu
Kwa sasa Mrema umri umekwenda sana, labda apewe cheo cha ushauri kwa waziri wa mambo ya ndani hata kama cheo hicho hakipo kikatiba. Yani afanye kama alivyofanya kwa kina Kabudi. Nina imani uwepo wa Mrema wizarani kutaleta tija nchini.
 
JPM alijaribu kwa wale wahuni wa Amboni na Rufiji, wapuuzi akina Zitto na Lissu hadi leo ni kumlaumu
Dah umenikumbusha enzi za wale wahuni wa rufiji. Sasa hivi wilaya imekuwa na amani kabisa.
 
Kama mrangi hamjui kuveta basi kuveta alikufa akiwa underground mkuu mrangi kuveta ni certified jambaz?
 
Nimeguswa!. Very touching story.
Sijapenda jinsi starring alivyo uwawa bila kosa lolote!.
Wale wote walio husika kumuua kamanda huyu bila kosa lolote, karma inawahusu.

RIP Kuveta, Kamanda wa Commando Yosso.
β€ŠP
Hiyo Karma uliyoisema ndio liyoondoka naye.
Ilikuwa ukisikia huu wimbo kwenye mnanda .Dk 2 mnanda haupo
"Kimhia kimbia Mrema anakuja"Γ—2
 
Jela ni pazuri kwa wale wasiokuwa na kazi pamoja na makazi. Maana wakiwa kule wanakula bure na wanalala bure.
 
Acha huruma kwa wahun. Kimsing kilichompata ni hyo KARMA . Maana wao ndicho walichokuwa wanakifanya kuvamia watu wasio na hatia, kuwaibia/kuwapora, kuwajeruhi na hata kuwaua, auaye kwa upanga hufa kwa upanga.
Yes, ni kama ulivyosema ni alikuwa!. Mtu ametoka jela juzi, hajafanya uhalifu wowote, yuko kwa demu wake, watu unamwingilia usiku kumvamia, kumkatakata mapanga, kumuua na kumjeruhi demu wake!. Wahusika wote karma itawahusu.
P
 
Hivi mrema ataweza kweli mikiki mikiki ya kukimbinzana na vibaka usiku, mbona anaonekana hajiwezi kwa lolote?
Hahaha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mikiki mikiki hatoweza mkuu, lakini ushauri wake utaweza kuleta faida nchini.
 
Another upumbafuu at its best
 
Yes, ni kama ulivyosema ni alikuwa!. Mtu ametoka jela juzi, hajafanya uhalifu wowote, yuko kwa demu wake, watu unamwingilia usiku kumvamia, kumkatakata mapanga, kumuua na kumjeruhi demu wake!. Wahusika wote karma itawahusu.
P
Unajua ilikua mara ya ngapi kutoka jela??ilikua ya 20,je unajuaje kama asingerudia??
 
Tatizo wenye mamlaka wamekaa kimya hawana mkakati wowote na ndio ambao wangeweza kuchukua hatua matako yao.
 
Serikali ituachie tu tuwaue hawa watu kwa sababu wao wameshindwa kulinda amani ya raia wake
Muwaue saangapi wakati wanafunga mtaa wanawageuza geuza kama nguo za mtumba mnadani na hakamatwi hata mmoja, saa1:30- saa 3 wanaume wamejificha duu!
 
Hahaha.. unamkuta panya road hana hata kilo 25 za uzito, mlo wake kwa siku ni bagia mbili na jagi zima la maji, mfukoni ana bisibisi au kisu cha mkunjo afu usiku anafunga mtaa mzima [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23].
[emoji23][emoji23][emoji23] halafu mibaba 30yrs- 50yrs mnatimua mbio mpaka mnagongana wenyewe kwa wenyewe [emoji3][emoji3][emoji3] Mungu wangu jamani inatisha..
 
Nimeguswa!. Very touching story.
Sijapenda jinsi starring alivyo uwawa bila kosa lolote!.
Wale wote walio husika kumuua kamanda huyu bila kosa lolote, karma inawahusu.

RIP Kuveta, Kamanda wa Commando Yosso.
β€ŠP
Angekuwa alishakupitia na kapita na mkono wako mmoja na kufagia nyumba yako usingema haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…