Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
- #81
Hapo sawa mkuu, inawezekana hata mimi namfahamu ila ndo hivyo umri umeenda kwahiyo ni ngumu sura yake kutambulika vizuri.Kuveta anamjua huyo mwamba.
Ni mmoja ya members wa Yosso kundi la fire.
Umri umeenda hio ni flashback yake