Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Hivi ndivyo nilivyo na sikuanza Leo!.Angekuwa alishakupitia na kapita na mkono wako mmoja na kufagia nyumba yako usingema haya
Mwizi anusurika kufa mabibo hostel
mwizi huyo aliyekamatwa mida ya saa moja na nusu ya jioni hii akiwa block katika harakati za kuiba PC za wanafunzi wa chuo kikuu cha dar es salaam waishio katika hostel hii, mwizi huyo alipo ulizwa kama ni mwanafunzi alishindwa kujitetea na kusema kuwa kaacha kitambulisho chake getini kitu...
Bango la "Mwizi Mkenya!" Mlimani City ni Ubaguzi!, Udhalilishaji!, na Very Undiplomatic Gesture!.
Wanabodi, Nimesoma mahali kutokea kwa tukio la wizi eneo la Mlimani City, Msichana kutoka Kenya atuhumiwa kwa wizi M. City, atembezwa na ... mwizi huyo ni mwanamke kutoka nchini Kenya. Baada ya kukamatwa, kabla hajakabidhiwa kwa vyombo husika, walimtia kibano, kisha kumshikisha bango...
Mfungwa ni Binadamu na Haki si hisani! Conjugal Visit sio Starehe, ni Haki halali na stahiki ya Mfungwa!
Wanabodi, Habari za masiku. Leo naendelea na zile makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa. Leo nawaelimisha kidogo tuu kuhusu wafungwa. Tanzania tunafuata mfumo wa sheria wa Uingereza, ambapo mtuhumiwa aliyeko gerezani, anahesabika "not guilt, untill proven" hivyo wafungwa wote wanaotuhumiwa...
Kaimu Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma, Naomba Usiruhusu Udhalilishaji Huu Ndani ya Mahakama Zetu!.
Wanabodi, Tanzania ni nchi yenye katiba inayoendeshwa kwa misingi ya haki, the rule of law kwa kufuata misingi ya sheria, taratibu na kanuni. Kwenye kila jambo linatekelezwa kwa mujibu wa sheria taratibu na kanuni, mahakamani ni mahali pa kutoa haki, tunaomba usiruhusu vyumba na maeneo ya...
Jaji Mkuu na Mahakama, Kemeeni Tabia Ya Jeshi la Polisi Kujigeuza Mahakama na Kuhukumu Watuhumiwa kwa Kutumia Media
Wanabodi, Hili ni bandiko la ombi kwa Kaimu Jaji Mkuu na Mhimili wa Mahakama kulikemea Jeshi la Polisi, kwa tabia yake ya kujigeuza mahakama kwa kuita vyombo vya habari na kuwahukumu watuhumiwa kwa kuwaita wahalifu kabla hata hajafikishwa mbele ya vyombo vya sheria ambavyo kisheria ndivyo...