Haya yakifanyika uhalifu utaisha, panya road watakwisha na raia watakuwa wanalala milango wazi hadi asubuhi

Angekuwa alishakupitia na kapita na mkono wako mmoja na kufagia nyumba yako usingema haya
Hivi ndivyo nilivyo na sikuanza Leo!.

P
 
People changes, maadam alitoka jela na hakufanya uhalifu wowote, then, there is no any justified cause ya kumuua!.
Na kwa tukio hili lilitokea siku nyingi, wahisika wote kila mmoja ameisha lipwa na karma, kwa kadri ushiriki wake katika dhambi ya mauaji ya mtu asiye na hatia.
P
Vipi kama walitubu..bado karma itafanya kazi mkuu..nauliza tu kwa upole nijifunze
 
Ukitenda ubaya wa kustahili adhabu ya karma, ukigundua mapema ukatubu na kufanya malipizi, karma haikutandiki.

Na ukifanya ubaya, hata usipotubu, lakini ukafanya wema mkubwa kuliko ule ubaya, wema wako una reverse madhara ya mapigo ya karma.

Hivyo waliotubu wanasamehewa, mfano hata katika shambulio la Lissu, halikupangwa na mtu mmoja au kutekelezwa na mtu mmoja, ndio maana kuna watu karma imekula vichwa, na kuna wengine, wanaendelea kudunda

Mambo ya imani ni magumu sana...ila kuna ukweli sana tu.
Nachojua damu inabeba uhai hivyo unavyoua kwa kutoa damu maana yake uhai unakosa mahala pa kwenda hivyo unabaki ukikuandama wewe uliye utoa.

Tuishi maisha ya wema kwa sisi na kuwatendea mema wengine. Dunia itabakia kuwa sehem salama na kinyume chake ni sahii
 
[emoji23][emoji23][emoji23] halafu mibaba 30yrs- 50yrs mnatimua mbio mpaka mnagongana wenyewe kwa wenyewe [emoji3][emoji3][emoji3] Mungu wangu jamani inatisha..
Inatisha na kusikitisha pamoja 😂😂😂
 
Yes, ni kama ulivyosema ni alikuwa!. Mtu ametoka jela juzi, hajafanya uhalifu wowote, yuko kwa demu wake, watu unamwingilia usiku kumvamia, kumkatakata mapanga, kumuua na kumjeruhi demu wake!. Wahusika wote karma itawahusu.
P
Umeandika ujinga. Maana ya kuzungushwa magereza yote si ni kwamba alikuwa akitoka jela anaendeleza ubabe?
 
Kila lenye mwanzo, huwa lina mwisho, what if baada ya Kaveta kutoka jela this time ndio alikuwa ameamua that was his last time ameacha ujambazi?. Why kill an innocent man kwasababu huko nyuma akitoka jela, anarudia kazi yake anarudi jela?.
There is no excuse to kill an innocent man for whatever the case might be, karma lazima imeisha washughulikia wauwaji hao!.

Kama jeshi la polisi, lilisha muweka Kaveta katiks black book yake, yaani blacklisted for death, wana snipers, wadunguaji, baada ya Kaveta kutoka jela, wana m trail, siku amerudia ujambazi, anakuwa gunned down in action, na sio kumvamia akiwa kwenye mechi , kwenye uwanja wa 6x6 kwa mpenzi wake na kumuua!. What a coward Police Force?!.
Msitetee dhambi ya mauaji yoyote ya kikatili!. Kwa taarifa yako, hata wauwaji wa Osama, Ghadafi na Saadam Hussein, karma itawahusu!.

Bila shaka utakuwa umeeleweka vizur mkuu P.
 
Mlikuwa mnaficha jambazi ingetakiwa na wewe uwe selo nyambaf!!!!
Tulimfichaje na wakati nimesema kila mtu aliekuwepo enzi zile, vijana, wazee na watu mbali mbali walimfahamu kuwa ni jambazi? Tungemficha angekuwa anakamatwa mara kwa mara na polisi, au kuuwawa? Labda niseme kuwa kifo chake kilitugusa kama familia, maana hakuwahi kufanya uhalifu wowote kwa ndugu wala jirani. Majambazi na vibaka waliogopa kuvamia nyumba yoyote ambayo walijua mwenye nyumba ana undugu na Kuveta. Pia ilikuwa haiwezekani ndugu yeyote wa Kuveta kukabwa na vibaka popote pale. Labda wakabaji wawe hawamfahamu wanaemkaba kuwa ana undugu na Kuveta maana walijua kama taarifa zingemfikia kuwa kuna ndugu yake fulani kakabwa na vijana fulani, basi vijana hao bila kurudisha walivyokaba, maisha yao yangekuwa hatarini popote walipo.
 
Kila lenye mwanzo, huwa lina mwisho, what if baada ya Kaveta kutoka jela this time ndio alikuwa ameamua that was his last time ameacha ujambazi?. Why kill an innocent man kwasababu huko nyuma akitoka jela, anarudia kazi yake anarudi jela?.
There is no excuse to kill an innocent man for whatever the case might be, karma lazima imeisha washughulikia wauwaji hao!.

Kama jeshi la polisi, lilisha muweka Kaveta katiks black book yake, yaani blacklisted for death, wana snipers, wadunguaji, baada ya Kaveta kutoka jela, wana m trail, siku amerudia ujambazi, anakuwa gunned down in action, na sio kumvamia akiwa kwenye mechi , kwenye uwanja wa 6x6 kwa mpenzi wake na kumuua!. What a coward Police Force?!.
Msitetee dhambi ya mauaji yoyote ya kikatili!. Kwa taarifa yako, hata wauwaji wa Osama, Ghadafi na Saadam Hussein, karma itawahusu!.
P
Mkuu Pascal hata mimi nafikili hawakumtendea haki marehemu. Kama kuveta alikuwa jambazi na pengine alikuwa muuaji, basi wangemkamata wakampeleka mahakamani na kumfungulia kesi ya mauaji kupitia mahakama. Baada ya hapo mahakama ndo ingejua kama ana hatia basi anahukumiwa kunyongwa, na kama hana basi anaachiwa akaendelee na maisha yake. Lakini kile kitendo cha kupiga ambush jamaa akiwa ndani kastarehe na mpenzi wake na kuanza kumshambulia na mapanga, bunduki nk hadi kifo chake hakikuwa kitendo kizuri na kilihalalisha watu kuchukua sheria mikononi na wakati tulikuwa na mahakama zetu. Big up Pascal kwa kusimamia haki na sheria japo kuwa baadhi ya watu huku wanakupinga, ila ni uhuru wao wa kutoa maoni kwa vile wanavyoona wao.
 
Enzi hizo ilikuwa unapeleka taarifa kimya kimya, usiku wazee wa kazi wanakuja nyumban kwa mtuhumiwa kufanya yao.
Sasa hivi wanapelekewa taarifa kwamba kuanzia leo usiku tutaanza kuwatafuta. Hakuna haja ya kuwatangazia hivyo. Ni kuingia moja kwa moja vitani na kuwaangamiza. Mambo haya yapaswa kufanya kimyakimya.
 
Hakika mkuu, kweli wewe mfuatiliaji wa mambo haya. Ya inasemekana ni bonge wa kombolela ndo kaigiza movie ile [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ndio mwenyewe[emoji16]
Kuna movie ya kitambo inaitwa Sabrina unaikumbuka?[emoji28]
 
Sasa hivi wanapelekewa taarifa kwamba kuanzia leo usiku tutaanza kuwatafuta. Hakuna haja ya kuwatangazia hivyo. Ni kuingia moja kwa moja vitani na kuwaangamiza. Mambo haya yapaswa kufanya kimyakimya.
Yah ni kweli, adui ukimtangazia kuwa unamtafuta umuangamize lazima ajifiche, afu baadae anarudi na kuendelea na abush zake. Sana sana utajikuta unaangamiza wasiohusika, huku wahusika wakiwa wamejificha. Oparation ilitakiwa ifanyike kimya wakishamaliza ndo wanatoa tangazo ili wanaotaka kujifunza waogope.
 
Ndio mwenyewe[emoji16]
Kuna movie ya kitambo inaitwa Sabrina unaikumbuka?[emoji28]
Ya hiyo movie ya Sabrina naikumbuka mkuu. Ila kama hautojali, ningependa unitajie jina la movie aliyoigiza kama Kuveta ili niitafute.
 
Mkuu Pascal hata mimi nafikili hawakumtendea haki marehemu. Kama kuveta alikuwa jambazi na pengine alikuwa muuaji, basi wangemkamata wakampeleka mahakamani na kumfungulia kesi ya mauaji kupitia mahakama. Baada ya hapo mahakama ndo ingejua kama ana hatia basi anahukumiwa kunyongwa, na kama hana basi anaachiwa akaendelee na maisha yake. Lakini kile kitendo cha kupiga ambush jamaa akiwa ndani kastarehe na mpenzi wake na kuanza kumshambulia na mapanga, bunduki nk hadi kifo chake hakikuwa kitendo kizuri na kilihalalisha watu kuchukua sheria mikononi na wakati tulikuwa na mahakama zetu. Big up Pascal kwa kusimamia haki na sheria japo kuwa baadhi ya watu huku wanakupinga, ila ni uhuru wao wa kutoa maoni kwa vile wanavyoona wao.
Basi mkae kwa kutulia hivi vipanya road vinapobaka dada zenu na wake zenu.
 
Back
Top Bottom