Anna Nkya
Member
- Oct 21, 2021
- 69
- 341
Nafuatilia mijadala hasa kupiti Twitter. Watu wengi ambao wanaonekana ni experts wa vitu vya siasa wanaongelea sana kuhusu 'maridhiano' na demokrasia.
I think term 'maridhiano' inakuja kwa sababu ya mambo mengi yaliyotokea huko awamu ya tano.
Ila Rais Samia anaonesha wazi kwamba anataka sana hayo maridhiano kwa sababu:
1. Kufutwa kwa kesi ambazo zilipigiwa kelele hasa na watu wa Upinzani kwa miaka mingi au muda mfupi.
- Tundu Lissu alifutiwa kesi mwaka huu. Mude Nyangali aliachiwa huru na alipoachiwa akaenda hadharani kutoa maneno mabaya dhidi ya Rais na hajaguswa hadi leo.
- Viongozi wa CHADEMA walirudishiwa fedha zao walizolipa kama faini kwenye kesi ile ya maandamano ambayo that girl Akwelina alipoteza maisha.
- Sabaya ambaye alisemwa sana kwamba amekandamiza watu, kapata anachostahili (SAMIA ANGEKUWA MTU WA KUTAKA UKANDAMIZAJI UENDELEE ANGEMUACHA SABAYA KWENYE CHEO CHAKE ILI AONEE WATU, AU ASINGERUHUSU APELEKWE MAHAKAMANI KWA SABABU KUFANYA HIVYO INGEWATISHA OTHER LEADERS AMBAO STATE INGEWEZA KUWATUMIA KUKANDAMIZA WATU)
2. Mtandaoni naona picha za vyama vya upinzani wakiendelea na shughuli zao. Siku nyingi sijasikia Polisi wamevamia ofisi zao. CHADEMA wanaendelea na usajili wa wanachama wao kwa njia za Digital, they are no harassed as we used to hear.
- Yes kuna mambo mengi hayafanyiwa kazi towards the democracy we all wish to have, kama hiyo mikutano ya hadhara but OO YEAH, kuna nia inaonekana.
Mwisho, hapa kuna issue kubwa ya kesi ya Mbowe. It is only that one case ambayo kweli naona ndio jambo pekee linalowapa wengi sababu ya kuongea. The case ilifunguliwa na Rais aliyepita, walisema wanafanya uchunguzi hata kabla Samia hajaingia in power. Halafu iyo kesi naona kama Polisi ndio wanajua kinachoendelea and i want to believe wao ndiop walitoa taarifa kwa Rais. I dont know, but naamini that is the case.
Hata katika hii, siamini hata kidogo kwamba Rais Samia ana nia ya kumtendea ubaya Mbowe, why afanye hivyo?
ALL IN ALL, RAIS SAMIA NI MPENDA MARIDHIANO, SIO MUONEVU. Yapo mamboa yanayohitaji kufanyika kazi, bila shaka atayafanyia kazi.