muzi
JF-Expert Member
- Jun 17, 2016
- 1,041
- 1,457
Legacy ya JPM itadumu sana, so far tangu kuzaliwa Tanganyika Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere ndo na Hayati John Pombe Joseph Magufuli ndo maraisi pekee ambao watakumbukwa sana katika historia ya nchi hii. Pamoja na sababu nyingi ikiwemo kutetea wanyonge na kuataka Tanzania isonge mbele kimaendeleo kwa kuhakikisha rasilimali inanufaisha watu wote. Ni mtu ambaye amekuwa akijichanganya na watu wa kila aina.
Pamoja kuwa Rais bado yeye na familia yake wamekuwa wakiishi maisha ya kawaida sana pasipo kujiinua, pamoja na mapungufu machanche ya kujiiinua kama personality badala ya kuimarisha taasisi kwa kipindi kifupi amekuwa taaa na mwanga kwa alipotufikisha. Aliweza kutoa majibu ya hapo kwa hapo kulingana na shida za wananchi. Kwake mabo ya machakato na process haikuwa na nafasi katika utawala wake.
Rest in peace Hard Rock, chuma imara, Mungu akulaze mahala pema panapostahili peponi kulingana na matendo yako.