Nimekuwa nikisema kuwa
Hawa wanao mchafuwa magufuli sio eti wanapenda bali kuna kitu ambacho wanaona in the future will be different that why wanafanya nguvu ili kuzima nyota ya magufuli
My friend siku zote wanasema if God says yes no one can’t say No
Naona munajisumbuwa bure
Na Magufuli mwenyewe alisema kuwa ukiona
Adui anakupigia makofi ujuwe kuna mahali umekosea rundi nyuma ukatengeneze tena upya
But when you see your enemy talk bad thing about you
You have to know that you made good thing
Sasa kwa maneno haya we suprisedn’t you to talk bad about Magufuli
Because we know you were his enemies
Mkija na maneno mengi saana eeee magu mbaya magu alikuwa jambazi
We will ask you why you don’t talk about an others president of Tanzanie
Who were before Magufuli?
My friend magufuli was the way of africain prosperite he wanted to show us that we can with out white peoples
We don’t need help from them we need colaboration with them
Ok i’m not suprise because even jesus walimkataa kwao siku zote nabii akubaliki kwao
But jamaa alikuwa Nuru ya tanzania
Kataa kubali magufuli was the light of Tanzania
Any leader ambaye atakuja na falsafa za magufuli kwenye asilimia 100% za kushinda urais ana 95% za kushinda na 5% za kushindwa ninyi jengeni chuki tu lakini mwenzenu tayari amesha maliza kazi zake
Na kuondoka kwake duniani ni plan ya Mangu maana amesha maliza kazi yake tayari ya kukomboa mtu mweusi
Kataa au ukubali
Magufuli was the prophet of God