Kwa jinsi alivyokuwa amejijengea kuogopwa, kusifiwa, kuabudiwa, kusujudiwa ni wazi alikuwa anawaza kuwa Rais kwa vipindi zaidi ya viwili vile vilivyowekwa kikatiba.
Siku moja nikiwa na jamaa yangu mmoja tulikuwa tunamuangalia Magufuli kwenye runinga akiwa nafikiri Dodoma, alikuwa kwenye ibada kanisani kwa jinsi alivyokuwa anasujudiwa na viongozi mle kanisani, unganisha na Matukio ya akina agrey Mwanri na viongozi wengine wa dini walivyokuwa wanamtukuza kiumbe yule.
Siku ile nkamwambia jamaa yangu maneno yafuatayo" Huyu mtu atakufa mungu hawezi kukubali kiumbe chake alichokiumba kipewe sifa anazostahili kupewa yeye muumba" yule jamaa yangu nae uzuri alikuwa mtu wa hofu japo ni mtu nyeti serikalini akasema hata mimi hii tabia inanipa mashaka sana (binadamu kutukuzwa )
Tulimalizia soda zetu tukaagana, siku ambayo msiba unatangazwa rasmi jamaa yangu alinipigia cm akanambia unakumbuka yale maneno yetu? Nkasema ndiyak akasema yametimia, nkamuuliza yapi? Akasema Magu, alipenda kumuita Magu. Amefariki nilishtuka kdg lkn nkasema wacha aende tu!
Nawatakieni kheri ya mwaka mpya!
JPM alikuwa na sifa za Mungu na Kidume kwelikweli
1) Mungu hupenda kusifiwa na kuabudiwa ndo maana kwenye amri yake ya kwanza anajipambanua yeye
2)Mungu anapenda haki na si mnafiki ukitenda baya hata kama ulikuwa inashinda naye kila siku anakutimua mfano alimfurumusha shetani ambaye alikuwa malaika wake mkuu akamshusha Duniani
3)Mungu anafanya kazi bila kuchoka aliumba Dunia kwa siku saba na akapumzika kwa siku moja tu
4)Mungu humwangamiza mtu anayeenda kinyume na maagizo yake mfano alimwangamiza Musa na hakufika nchi ya ahadi
5) Mungu anawapenda viumbe wake wema na wabaya ndo maana anatuma mvua,jua na mwanga na vibaji mbalimbali bila kujali dhambi zetu
6)Mungu akitamka jambo au akiahidi jambo arudi nyuma lazima litimie sio kigeugeu
JPM naye alifuaya nyayo zilezile za Mungu
1)Alipenda kusifiwa na kutambuliwa kwa mchango wake katika Taifa
2)JPM Alipenda haki katika uongozi wake alitembea nchi nzima kusilikiliza masikini na kutatua shida zao wazembe wote wasioshughulikia kero za wananchi aliwatimua kwenye nafasi za
3)JPM alifanya kazi usiku na mchana bila kulala alikuwa anawapigia wasaidizi wake simu hata usiku wa manane na kukupa task ya kufanya
4)JPM aliwaangamiza wote walioenda kinyume na matakwa yake hasa wale wapinga maendeleo yale positive kama wale waliokuwa wanapinga kulinda rasimali za nchi
5)JPM alisimamia maendeleo yanafanyika nchi nzima ndo maana alijenga shule,hospitali,halmashauri,barabara mpaka ileje sehemu ambayo ilisahaulika miaka nenda rudi na kuna boda ya Tz na Malawi
6) JPM alikuwa akiahidi jambo lazima lifanyike na anafuatilia kwa umakini na wale waliokuwa wanakosea anawaambia waziwazi na kuwatumbua hata kama rafiki wa damu mf kitwanga akimtumbua angekuwa na roho yakibinadamu asingeweza He was very best friend
N.B kwa mantiki hii lazima jamii wamwone alikuwa Mungu mtu maana alikuwa na sifa za Kimungu sisi wanadamu wote tumeumbwa kwa sura na mfano wa Mungu wachache kama JPM wanasifa za Kimungu ila wengi wetu tumekengeuka na kuwa mashetani wanafiki,vigeugeu na majungu