Mkumbuke Ndugai alivyoshambuliwa na makamanda wa SamiaUmeandika weye mwenyewe?Itoshe kusema weye ni bumunda.Unaishi nchi gani weye?
Upate picha kuwa Kuna watu wapo tayari hata kuua kumtetea Raisi wao
Chunga Sana bwanamdogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkumbuke Ndugai alivyoshambuliwa na makamanda wa SamiaUmeandika weye mwenyewe?Itoshe kusema weye ni bumunda.Unaishi nchi gani weye?
Khaa sawaUendelee na moyo huohuo.Mbinguni unaenda zako kiroho safi huku unapiga mbinja.
Jamani hebu acha kufananisha bumunda na vitu vya kijingaUmeandika weye mwenyewe?Itoshe kusema weye ni bumunda.Unaishi nchi gani weye?
Kwa jinsi alivyokuwa amejijengea kuogopwa, kusifiwa, kuabudiwa, kusujudiwa ni wazi alikuwa anawaza kuwa Rais kwa vipindi zaidi ya viwili vile vilivyowekwa kikatiba.
Siku moja nikiwa na jamaa yangu mmoja tulikuwa tunamuangalia Magufuli kwenye runinga akiwa nafikiri Dodoma, alikuwa kwenye ibada kanisani kwa jinsi alivyokuwa anasujudiwa na viongozi mle kanisani, unganisha na Matukio ya akina agrey Mwanri na viongozi wengine wa dini walivyokuwa wanamtukuza kiumbe yule.
Siku ile nkamwambia jamaa yangu maneno yafuatayo" Huyu mtu atakufa mungu hawezi kukubali kiumbe chake alichokiumba kipewe sifa anazostahili kupewa yeye muumba" yule jamaa yangu nae uzuri alikuwa mtu wa hofu japo ni mtu nyeti serikalini akasema hata mimi hii tabia inanipa mashaka sana (binadamu kutukuzwa )
Tulimalizia soda zetu tukaagana, siku ambayo msiba unatangazwa rasmi jamaa yangu alinipigia cm akanambia unakumbuka yale maneno yetu? Nkasema ndiyak akasema yametimia, nkamuuliza yapi? Akasema Magu, alipenda kumuita Magu. Amefariki nilishtuka kdg lkn nkasema wacha aende tu!
Nawatakieni kheri ya mwaka mpya!
My apologies,boss!😂😂😂😂Jamani hebu acha kufananisha bumunda na vitu vya kijinga
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwa hy unafurahia mtu kufa..Kwa jinsi alivyokuwa amejijengea kuogopwa, kusifiwa, kuabudiwa, kusujudiwa ni wazi alikuwa anawaza kuwa Rais kwa vipindi zaidi ya viwili vile vilivyowekwa kikatiba.
Siku moja nikiwa na jamaa yangu mmoja tulikuwa tunamuangalia Magufuli kwenye runinga akiwa nafikiri Dodoma, alikuwa kwenye ibada kanisani kwa jinsi alivyokuwa anasujudiwa na viongozi mle kanisani, unganisha na Matukio ya akina agrey Mwanri na viongozi wengine wa dini walivyokuwa wanamtukuza kiumbe yule.
Siku ile nkamwambia jamaa yangu maneno yafuatayo" Huyu mtu atakufa mungu hawezi kukubali kiumbe chake alichokiumba kipewe sifa anazostahili kupewa yeye muumba" yule jamaa yangu nae uzuri alikuwa mtu wa hofu japo ni mtu nyeti serikalini akasema hata mimi hii tabia inanipa mashaka sana (binadamu kutukuzwa )
Tulimalizia soda zetu tukaagana, siku ambayo msiba unatangazwa rasmi jamaa yangu alinipigia cm akanambia unakumbuka yale maneno yetu? Nkasema ndiyak akasema yametimia, nkamuuliza yapi? Akasema Magu, alipenda kumuita Magu. Amefariki nilishtuka kdg lkn nkasema wacha aende tu!
Nawatakieni kheri ya mwaka mpya!
Vyovyote mtu unaweza kutafsiri,
Ubaya wake wote ulilenga mazuri ya badaye!
Vyeti feki ni ubaya?
Wala rushwa nao?
Vigeugeu na wapiga dili wa mabeberu je?
Uhuni wa mkiru nao?
Mafisadi kudhibitiwa napo ni ubaya?
Kudhibiti wafungulia maji mabwawa ya umeme je?
Kuwakata midomo wafaidisha mabeberu na kelele za miga je?
Okay alikuwa mbaya, basi boresheni maisha ya wananchi sasa maana hayupo sasa
Huyu alikuwa mwanaume haswa! Watu bado wanaogopa kivuli chake hata baada ya kufariki.
Tupia picha ya roho ya kinyama....sijawahi kuona roho hata ya kimfupa.WATU WAMEKOMAA NA MAGU ANAANDIKWA KWELI HUMU KWA MAZURI NA MABAYA.ILA MAGU KWA KWELI ALIKUWA NA ROHO YA KINYAMA UKWELI LAZIMA TUSEME
UchawiKwa jinsi alivyokuwa amejijengea kuogopwa, kusifiwa, kuabudiwa, kusujudiwa ni wazi alikuwa anawaza kuwa Rais kwa vipindi zaidi ya viwili vile vilivyowekwa kikatiba.
Siku moja nikiwa na jamaa yangu mmoja tulikuwa tunamuangalia Magufuli kwenye runinga akiwa nafikiri Dodoma, alikuwa kwenye ibada kanisani kwa jinsi alivyokuwa anasujudiwa na viongozi mle kanisani, unganisha na Matukio ya akina agrey Mwanri na viongozi wengine wa dini walivyokuwa wanamtukuza kiumbe yule.
Siku ile nkamwambia jamaa yangu maneno yafuatayo" Huyu mtu atakufa mungu hawezi kukubali kiumbe chake alichokiumba kipewe sifa anazostahili kupewa yeye muumba" yule jamaa yangu nae uzuri alikuwa mtu wa hofu japo ni mtu nyeti serikalini akasema hata mimi hii tabia inanipa mashaka sana (binadamu kutukuzwa )
Tulimalizia soda zetu tukaagana, siku ambayo msiba unatangazwa rasmi jamaa yangu alinipigia cm akanambia unakumbuka yale maneno yetu? Nkasema ndiyak akasema yametimia, nkamuuliza yapi? Akasema Magu, alipenda kumuita Magu. Amefariki nilishtuka kdg lkn nkasema wacha aende tu!
Nawatakieni kheri ya mwaka mpya!
Kwa jinsi alivyokuwa amejijengea kuogopwa, kusifiwa, kuabudiwa, kusujudiwa ni wazi alikuwa anawaza kuwa Rais kwa vipindi zaidi ya viwili vile vilivyowekwa kikatiba.
Siku moja nikiwa na jamaa yangu mmoja tulikuwa tunamuangalia Magufuli kwenye runinga akiwa nafikiri Dodoma, alikuwa kwenye ibada kanisani kwa jinsi alivyokuwa anasujudiwa na viongozi mle kanisani, unganisha na Matukio ya akina agrey Mwanri na viongozi wengine wa dini walivyokuwa wanamtukuza kiumbe yule.
Siku ile nkamwambia jamaa yangu maneno yafuatayo" Huyu mtu atakufa mungu hawezi kukubali kiumbe chake alichokiumba kipewe sifa anazostahili kupewa yeye muumba" yule jamaa yangu nae uzuri alikuwa mtu wa hofu japo ni mtu nyeti serikalini akasema hata mimi hii tabia inanipa mashaka sana (binadamu kutukuzwa )
Tulimalizia soda zetu tukaagana, siku ambayo msiba unatangazwa rasmi jamaa yangu alinipigia cm akanambia unakumbuka yale maneno yetu? Nkasema ndiyak akasema yametimia, nkamuuliza yapi? Akasema Magu, alipenda kumuita Magu. Amefariki nilishtuka kdg lkn nkasema wacha aende tu!
Nawatakieni kheri ya mwaka
Title ya thread una uliza magufuli alikuwa anawaza nini?Kudadek
Waliomwabudu ndo wanamponda mawe sasa hivi!!! Vp hushangai!!!?
[emoji23][emoji23] mheshimiwa Mungu atiiiHuyu anadhalilisha uprofesa na Ni miongoni mwa waliochangia safari ya mwendazake kurudi kwa baba haraka
Mhe Mungu???
Sent using Jamii Forums mobile app
Jinamizi lililomaliza watu wake.He was a true Pan Africanist
Uchawi
Title ya thread una uliza magufuli alikuwa anawaza nini?
Kweny content unasema alikuwa anaenda jiongezea muda
Huu ndio uchawi wenyewe unajua mtu mwingine anawaza au fikiri nn??
Maiti haiwezi kukujibu ilikuwa inawaza nn ndugu
Alaf Nan alikwambia utumie cheti feki aisee
Si kuna kazi aliiomba Huko mbinguni kuongoza malaika au?Kwa jinsi alivyokuwa amejijengea kuogopwa, kusifiwa, kuabudiwa, kusujudiwa ni wazi alikuwa anawaza kuwa Rais kwa vipindi zaidi ya viwili vile vilivyowekwa kikatiba.
Siku moja nikiwa na jamaa yangu mmoja tulikuwa tunamuangalia Magufuli kwenye runinga akiwa nafikiri Dodoma, alikuwa kwenye ibada kanisani kwa jinsi alivyokuwa anasujudiwa na viongozi mle kanisani, unganisha na Matukio ya akina agrey Mwanri na viongozi wengine wa dini walivyokuwa wanamtukuza kiumbe yule.
Siku ile nkamwambia jamaa yangu maneno yafuatayo" Huyu mtu atakufa mungu hawezi kukubali kiumbe chake alichokiumba kipewe sifa anazostahili kupewa yeye muumba" yule jamaa yangu nae uzuri alikuwa mtu wa hofu japo ni mtu nyeti serikalini akasema hata mimi hii tabia inanipa mashaka sana (binadamu kutukuzwa )
Tulimalizia soda zetu tukaagana, siku ambayo msiba unatangazwa rasmi jamaa yangu alinipigia cm akanambia unakumbuka yale maneno yetu? Nkasema ndiyak akasema yametimia, nkamuuliza yapi? Akasema Magu, alipenda kumuita Magu. Amefariki nilishtuka kdg lkn nkasema wacha aende tu!
Nawatakieni kheri ya mwaka mpya!
Zile pesa za Assad je? Ile kampuni ya Mayanga na ile ya kuweka pigment kwenye mafuta unazikumbuka? Na hapa unasemaje? Fisadi ni fisadi tuu👇Vyovyote mtu unaweza kutafsiri,