Hayati Dkt. Magufuli alikuwa akiwaza nini?

Hayati Dkt. Magufuli alikuwa akiwaza nini?

Vyovyote mtu unaweza kutafsiri,

Ubaya wake wote ulilenga mazuri ya badaye!

Vyeti feki ni ubaya?
Wala rushwa nao?
Vigeugeu na wapiga dili wa mabeberu je?
Uhuni wa mkiru nao?
Mafisadi kudhibitiwa napo ni ubaya?
Kudhibiti wafungulia maji mabwawa ya umeme je?
Kuwakata midomo wafaidisha mabeberu na kelele za miga je?

Okay alikuwa mbaya, basi boresheni maisha ya wananchi sasa maana hayupo sasa
Ila aliwapenda sana Sabaya na Bashite
 
Amka weye!Ubaya hauhalalishi uwe mtenda ubaya.
 
Jmn napendekeza kwa Moderator nyuz zinazomuhusu magufuli zifungwe raisimi leo iwe mwisho kuandiaka hbr zake ...au hbr zozote zinazo muhuzu jpm ziunganishwe zote Kila hbr za jpm utengenezewe jukwaha
 
Waliomwabudu ndo wanamponda mawe sasa hivi!!! Vp hushangai!!!?
Hao wajinga tu hawalisaidii lolote taifa. Walipaswa watuambie uovu huo mapema. Tofauti hivyo ni wajinga,wanafiki,wambea,wazushi,wazandiki,vigeugeu,wachumia tumbo na kila jina baya wanastahili.
 
Mimi pia nilishawishika kujenga guest house Chato niliona ni fursa ya kutengeneza pesa. Nimeghairi mipango .
Usiwe na hofu, nipo mchato mwingine hapa napiga jalamba kubeba mikoba.......endelezeni tu maeneo yenu.
 
Back
Top Bottom