Eti kifo Cha mwenzio isiwe kicheko kwako unakumbuka magufuli alikataza hata watu kumuombea lissu Yani alitufikisha viwango vya uadui wa juu Kama taifa kuvaa fulana za kumuombea lissu ikawa jinai kwenda hospital kumpa pole ikawa jinai khaaa baba yule hapana aisee na aendelee kuwa carbon.Kiongozi gani asie lindwa duniani? Hata weye mwenyewe unajilinda. Ila kifo cha mwenzio isiwe kicheko kwako! Kila mtu ana muda na saa yake! Wewe umejiuliza saa ngapi roho yako itatwaliwa, japo unalala kwa kufunga milango ya nyumba na geti juu! Nawe roho yako itaondoka!
Ukisoma maandiko kuna watakatifu walikufa vifo vibaya, kuna waliokata vichwa, kuna waliokaangwa kenye mafuta. Acha kiburi cha uzima wewe uwezi jua kifo chako. Usijisifie kwa ujionavyo wewe! Jiulize Mungu anakuonaje? Hakuna dhambi kubwa wala ndogo! Pia hata kumsema mwenzio si haki mbele za Mungu!Pote
Potelea mbali sijaiba Cha mtu sijauwa mtu sijateka mtu sijafunga watu kwa kesi za uongo sijaikufuru Wala kuinajisi altare ya Mungu naamini mungu muumba wangu atanipa kifo Cha amani na cha heshima.
Nimeongelea binadamu kuhukumu binadamu wenzio swala nje ya mada sina muda wa kulijibu. Nasisitiza binadamu hatujapewa mamlaka ya kuhukumu! Na uwa siongelei jambo nisilokuwa na ushahidi nalo wala kuongelea uzushi.Bado nasubiri majibu ya swali langu.
Hapo umekosea sana.Mada yangu haiongelei hao watu, naongelea mtu kuhukumiwa, je sisi binadamu tuna mamlaka ya kuhukumu? Hata kama mtu alifanya makosa? Soma uelewe mada usikurupuke. Ndo maana nikasema hata Kaini aliuwa kwanini Mungu bado alimlinda Kaini? Watu wengi ukurupuka wajui mada inachosema. Lakini pia hao unao wataja unaushahidi kuwa Magufuli aliwauwa? Mbona kumekuwa na tuhuma za Ben Sanane kuuwawa na Boss wake, Kumekuwa na tuhuma alie kuwa Makamu mwenyekiti wa Chadema kuuwawa na Mwenyeki?
Lakini watu wangapi wamepoteza maisha nyakati za uongozi tofauti? Hii haiwezi kukufanya uhukumu. Anae hukumu ni Mungu pekee!
We piga kelele Ila mwamba wenu ushaondoka yeye hakuyapa maisha ya wenzie thamani aliona kumpoteza Ben Rabiu Saanane ni sawa na kupoteza kitimoto bandani Sasa nayeye katoeshwa milele na hatorudi aban we are happy at last.Ukisoma maandiko kuna watakatifu walikufa vifo vibaya, kuna waliokata vichwa, kuna waliokaangwa kenye mafuta. Acha kiburi cha uzima wewe uwezi jua kifo chako. Usijisifie kwa ujionavyo wewe! Jiulize Mungu anakuonaje? Hakuna dhambi kubwa wala ndogo! Pia hata kumsema mwenzio si haki mbele za Mungu!
Haya ayanihusu, naongelea binadamu kuhukumu. Sijaja hapa kuongelea Lisu au sijui Ben Sanane, kama unahitaji kuwaongelea toa mada zinazowahusu. Nachofahamu Mungu uona kwa jicho la tofauti! Mungu wetu ndiye anae hukumu na kusamehe, mimi ni nani nichukue mamlaka ya Mungu? Kaini aliuwa bado mungu akampa ulinzi. Soma mada vizuri.Hapo umekosea sana.
Hivyo vifo vyote ulivyovitaja, pampoa na shambulio dhidi ya Lisu, kama kusingekuwa na maelekezo au baraka zake, hakika uchunguzi ungefanyika. Lakini alizuia, na hata wengine walioenda kumwona Lisu hospitali, kama walikuwa Serikalini, ilikuwa mwisho wa ajira zao.
Heri yako unae dhani utakufa na kuwa anae kufa ni alie kosea. Sijamtaja Ben nadhani soma uelewe kinachoongelewa.We piga kelele Ila mwamba wenu ushaondoka yeye hakuyapa maisha ya wenzie thamani aliona kumpoteza Ben Rabiu Saanane ni sawa na kupoteza kitimoto bandani Sasa nayeye katoeshwa milele na hatorudi aban we are happy at last.
Unatuletea propaganda za kipumbavu a haya ndio mambo yaliyochangiwa magufuli kuchukiwa Sana kuunda vikundi vya kimungiki kuchafua watu.Mada yangu haiongelei hao watu, naongelea mtu kuhukumiwa, je sisi binadamu tuna mamlaka ya kuhukumu? Hata kama mtu alifanya makosa? Soma uelewe mada usikurupuke. Ndo maana nikasema hata Kaini aliuwa kwanini Mungu bado alimlinda Kaini? Watu wengi ukurupuka wajui mada inachosema. Lakini pia hao unao wataja unaushahidi kuwa Magufuli aliwauwa? Mbona kumekuwa na tuhuma za Ben Sanane kuuwawa na Boss wake, Kumekuwa na tuhuma alie kuwa Makamu mwenyekiti wa Chadema kuuwawa na Mwenyekiti?
Lakini watu wangapi wamepoteza maisha nyakati za uongozi tofauti? Hii haiwezi kukufanya uhukumu. Anae hukumu ni Mungu pekee!
Unatangatanga, bila ya kuwa na kumbukumbu. Ni nani aliyeuliza kama kuna ushahidi kuwa ni marehemu ndiye aliyewaua/kuwapoteza Ben na akina Gwanda. Siyo wewe? Kwa nini unapojibiwa unakana kuwa siyo mada iliyopo? Basi nawe usingewaongelea kabisa.Haya ayanihusu, naongelea binadamu kuhukumu. Sijaja hapa kuongelea Lisu au sijui Ben Sanane, kama unahitaji kuwaongelea toa mada zinazowahusu. Nachofahamu Mungu uona kwa jicho la tofauti! Mungu wetu ndiye anae hukumu na kusamehe, mimi ni nani nichukue mamlaka ya Mungu? Kaini aliuwa bado mungu akampa ulinzi. Soma mada vizuri.
Sielewi hata unachokiongelea, Hata Yesu alipokufa watu walifurahia! Angalia Biblia watu wengi wema walipokufa maadui zao walishangilia! Mungu wetu haukumu kwa kuangalia watu wanasema nini!Mada yako inashangaza.
Imagine unakutana na watu wanapiga yowe kwamba kuna mtoto kazaliwa......
Lazma utajiuliza huyo mtoto ana nini kwanini wanalia badala ya kufurahi?
Kwa kawaida watu huuzunika sana mtu mwema akifa na si kumuhukumu au kufurahia.
Uzi wako hapo juu #1 ni unafiki mtupu. Unasema Lowassa hata kama njia zilizomfanya asiwe Rais hazikuwa za haki. Eti bado aliyeingia aliwekwa na Mungu ?!. How !! Unafiki .Hakuna sehemu aliyosafishwa, na siko kusafisha, bali naongea wazi hakuna chuki ya marehemu duniani. Kujenga chuki kwa mtu alokufa nadhani ni kutokuwa na akili za kufikiri. Nimeongelea kifo chake na yasemwayo kwa hicho kifo. Sasa nimsafishe kwa nani?
Nyie ndo mtakao kufa vifo vya ajabu na vibaya! Wewe si Mungu kuhukumu!
Sasa nimtetee Magufuli kwani anagombea uRais. Soma uelewe mada chuki zako usikimbie na kuandika tofauti ya mada.
Napenda kukukumbusha utakufa pia, je umetafakari maisha yako?
Porojo hizi. Maneno meengi kumbe pumba tupu.Kifo ni tukio la kiasili. Katika imani kadhaa za kidini zina elezea kifo kilitokea baada ya Adamu na Hawa (Eva) kwenda kinyume na mapenzi ya muumba wao (MUNGU). Ndipo Mungu alitamka kuwa tutakufa, au kurejea katika mavumbi.
Binadamu wa kwanza kufa alikuwa Abeli. Ambaye aliuliwa na kakaye aitwae Kaini. Kaini japo alimuuwa Abeli, bado Mungu alimlinda Kaini na hata akasema atakae muuwa kaini basi atalaaniwa. Hivyo Mungu alimpeleka Kaini nchi ya mbali. Hii yote kumuepusha na kumlinda na mabaya. Mungu alifa
Mpumbavu ni yule anae dhani wenzake ni wapumbavu. Na mpumbavu ni yule hajui mada inaongelea nini anakurupuka na kuleta mada zingine. Na mpumbavu ni yule asie jadili mada bali anadhani matusi ndiyo njia pekee ya kuonesha anajua wakati hajui. Mpumbavu ni mtu ambae ueleza vitu kwa ushabiki pasipo kuwa na uhakika au kweli ya kile kisemacho.Unatuletea propaganda za kipumbavu a haya ndio mambo yaliyochangiwa magufuli kuchukiwa Sana kuunda vikundi vya kimungiki kuchafua watu.
Mfano kifo Cha Ben Rabiu Saanane hivi mbowe amuuwe Ben halafu magufuli alivyomchukia mbowe asiamrishe hata chembe ya uchunguzi akili zako Basi zitakuwa za kipumbavu. Nakuapia Kama kweli chadema ingehusika au mbowe angehusika na kifo Cha Ben chacha wangwe au shambulio la lissu wazandiki wa ccm wangeitumia hiyo Kama hoja kuu ya kuiadhibu chadema na kuifuta kabisa.jpm aliasisi uhuni wa hovyo Sana katika ikulu ya nchi yetu.
CCM wenzao inaonekana walishampani kitambo sana. Tumeona baada ya yeye kufa.Mungu aliona hatma ya taifa na ndio maana aliingilia Kati ; trust me angeongoza miaka kumi Kuna watu uzalendo ungewashinda na uvumilivu ungeisha watu wangeanza kukinukisha live na damu nyingi ingemwagika magufuli alikuwa analipeleka taifa ukingoni mwa uvumilivu wa kawaida.
Umesoma mada kuu, hilo jibu lilitolewa kwa swali ulilo uliza. swali ujibiwa lilivyo ulizwa. Weye ndo unatangatanga kwani nilieleza ukarukia Ben.Unatangatanga, bila ya kuwa na kumbukumbu. Ni nani aliyeuliza kama kuna ushahidi kuwa ni marehemu ndiye aliyewaua/kuwapoteza Ben na akina Gwanda. Siyo wewe? Kwa nini unapojibiwa unakana kuwa siyo mada iliyopo? Basi nawe usingewaongelea kabisa.
Unaambiwa kumfunga mbowe ilikuwa ni plan b Ila jiwe lilishampitishia hukumu ya kifo lissu aliponea chupuchupu kwenye geti la ubalozi wa German evarist chahali juzi tumemsikia akisema wazi kwamba alishatumiwa watu kumuuwa. Sasa jiulize hao ni manusura je hit list ilikuwa na wangapi na wangapi walipotezwa?Hivi angekuwa hai hai leo !
WATANZANIA wangapi wangekuwa wameuliwa?
Kuna mambo yamekaa kirho na wenye kuyatambua inabidi wawe katika roho!Uzi wako hapo juu #1 ni unafiki mtupu. Unasema Lowassa hata kama njia zilizomfanya asiwe Rais hazikuwa za haki. Eti bado aliyeingia aliwekwa na Mungu ?!. How !! Unafiki .
Kwanini chaguzi si za haki ?!. Then wanaopitishwa waabudiwe ?! Unafiki
Sasa kama hukuelewa nilichosema haya maelezo yote unajibu hoja ipi?Sielewi hata unachokiongelea, Hata Yesu alipokufa watu walifurahia! Angalia Biblia watu wengi wema walipokufa maadui zao walishangilia! Mungu wetu haukumu kwa kuangalia watu wanasema nini!
Basi kwanini watu walijazana kwenye kifo chake kama kweli alngekuwa anachukiwa kwa uzushi huo wanao usema ttungeona barabara empty!