Hayati Dkt. Magufuli ndiye Rais aliyefaa kuiongoza Tanzania

Habari wanaJamiiForums

Natumaini ni wazima wa afya binafsi nilikuwa naumwa Sana angalau sasa hiv nina unafuu nilikuwa nina Malaria tuombeane nipone kabisa.Tuje kwenye mada husika hapo juu unajua nimekuwa mfuatiaji kiasi fulani wa jukwaa Hili nimegundua kuwa members wa jukwaa hili hawana tofauti na ushabiki wa Simba na Yanga au Teams zile ambazo zipo mitandaoni sijui Team diamond,Team kiba n.k tunachukulia siasa kama ushabiki badala ya kuchukulia kama maisha.

Kupitia siasa nchi ndio inajengwa watu wamekuwa wakiabudu viongozi as if ni Mungu wakiwasapoti hata kama wanakuosea hapo unajiuliza hawa wanatofauti ipi na Team diamond au Team kiba? Wanaushabiki wa vyama as if hivyo vyama vinawasaidia kuondoa umasikini wa maisha yao wamefanywa mandondocha na wanajiona ok yaani Unaweza kukuta mshabiki wa Chadema anamshambulia shabiki wa CCM analipwa kutetea ujinga lakini na yeye mwenyewe anafanya kile kile anachofanya mwenzake.

Nije kwenye lengo kuu la uzi wangu kiukweli kutokana na hii nchi ilivyo mtu kama Magufuli ndio mtu pekee ambaye alituonesha uelekeo mzuri wa kutupeleka mbali.Hii nchi kuna baadhi ya mnatatizo yanazalishwa na watu kwa lengo lakupiga pesa na kama hakuna strong President ambaye ni mzuri kwenye ufuatiliaji kupigwa kuzidi kutaendelea, Mfano mzuri tangu aingie Magufuli madarakani hakujawi kuwa na shida ya maji kama ilivyo sasa hiv huku kwetu Kimara hii inaenda siku ya 5 maji hayatoki Waziri husika uko alipo anafanya Nini wanawanchi wanateseka jitu limekaa linakula kiyoyozi watu wa aina hii wakitumbuliwa baadhi ya watu especially wenye itikadi ya vyama wanasema Magufuli ana roho mbaya wakati hata yanatokea Mama samia anazurura nchi za nje.

Umeme sasa umekuwa unatikatika tofauti na kipindi Cha Magufuli kama unakumbukumbu vizuri Magufuli kama ajaingia madarakani wakati wa kampeni aliwapiga beat Tanesco na kweli tangu aingie ukusikia hata ile kasumba ya maji ya kidatu yamepungua.

Magufuli kakuta nchi ambayo nchi jirani zinachukua rasimali zetu ovyo ovyo Mara unasikia twigs kapandishwa ndege n.k lakini mwamba tangu aingie kuna wachina wameukumiwa vifungo virefu, mambo ya kutoroshwa mali asili kazibiti.

Kiufupi hii nchi Magufuli aliichukua likiwa imeoza na ndio maana akawa anajenga misingi we jiulize mtu kafariki muda mrefu still anapokea mshahara ndio maana akaanzisha kampeni ya kushafisha mafanyakazi hewa.

Kuna miradi Mingi hapo awali inachukua muda mrefu kukamilika ingawa haikustahili ifike huko ni kwasababu viongozi wetu hawakuwa wasimamizi tofauti na Magufuli ndio maana umeona chini yake flyover imekamilika kwa wakati madaraja mengi yamekamilika kwa wakati kwasababu hakiona mkandarasi haendi sambamba na kasi ya mradi anamfukuza hii imesaidia sana.

NB: Tanzania ina muhitaji mtu kama Magufuli ili ipige maendeleo tofauti na hapo nchi itakuwa unarudi nyuma kwa mambo mengi sana.
Hiyo Malaria bora iendelee tu.
 
Vipi Kagame Alivyokuwa Anajibebea Tanzanite Bure;
 
Hii nchi inahitaji kiongozi mwenye rohombaya, kuna uzembe mkubwa sana wamakusudi unafanywa na baadhi ya viongozi kwenye secta zao.

Wewe mwenyewe apo kama zinachaji lazima unamkubali hayati kimyakimya.

Jengo limebobolewa sababu lilikuwa katika aneo la hifazi ya barabara full stop.

Vipi, sasaivi unaonaje kimara maili moja watu wanavyo jiachia katika njia 8.
Si kweli nchi inahitaji kiongozi anayefuata katiba,mtu mwenye roho mbaya ndiyo imesababisha Azory,ben,rwajabe,kanguye kupotea kwenye uso wa dunia.

Hata angekaa Piere liquid kuna mambo mazuri angeyanfanya kwahiyo hata Jiwe kuna vitu alivifanya vizuri na nilishaeleza hapo nyuma ambayo yaliguza maslahi mapana ya wananchi eg kuondoa service chaji ya tanesco ,kufuta road license ya kila mwaka maana vyote hivyo vilikuwa ni wizi.

Si kweli majengo mengi yapo kwenye hifadhi ya barabara lakini hayabomolewi ,ikulu nayo ipo kwenye hifadhi ya barabara.

Miradi ya ujenzi hiyo ilikuwa inatekelezwa kwasababu kuna 20% mule na kampuni zilizopewa tenda zina uhusioano wa moja kwa moja na "Msema kweri mpenzi wa Mungu".
 
Habari wanaJamiiForums

Natumaini ni wazima wa afya binafsi nilikuwa naumwa Sana angalau sasa hiv nina unafuu nilikuwa nina Malaria tuombeane nipone kabisa.Tuje kwenye mada husika hapo juu unajua nimekuwa mfuatiaji kiasi fulani wa jukwaa Hili nimegundua kuwa members wa jukwaa hili hawana tofauti na ushabiki wa Simba na Yanga au Teams zile ambazo zipo mitandaoni sijui Team diamond,Team kiba n.k tunachukulia siasa kama ushabiki badala ya kuchukulia kama maisha.

Kupitia siasa nchi ndio inajengwa watu wamekuwa wakiabudu viongozi as if ni Mungu wakiwasapoti hata kama wanakuosea hapo unajiuliza hawa wanatofauti ipi na Team diamond au Team kiba? Wanaushabiki wa vyama as if hivyo vyama vinawasaidia kuondoa umasikini wa maisha yao wamefanywa mandondocha na wanajiona ok yaani Unaweza kukuta mshabiki wa Chadema anamshambulia shabiki wa CCM analipwa kutetea ujinga lakini na yeye mwenyewe anafanya kile kile anachofanya mwenzake.

Nije kwenye lengo kuu la uzi wangu kiukweli kutokana na hii nchi ilivyo mtu kama Magufuli ndio mtu pekee ambaye alituonesha uelekeo mzuri wa kutupeleka mbali.Hii nchi kuna baadhi ya mnatatizo yanazalishwa na watu kwa lengo lakupiga pesa na kama hakuna strong President ambaye ni mzuri kwenye ufuatiliaji kupigwa kuzidi kutaendelea, Mfano mzuri tangu aingie Magufuli madarakani hakujawi kuwa na shida ya maji kama ilivyo sasa hiv huku kwetu Kimara hii inaenda siku ya 5 maji hayatoki Waziri husika uko alipo anafanya Nini wanawanchi wanateseka jitu limekaa linakula kiyoyozi watu wa aina hii wakitumbuliwa baadhi ya watu especially wenye itikadi ya vyama wanasema Magufuli ana roho mbaya wakati hata yanatokea Mama samia anazurura nchi za nje.

Umeme sasa umekuwa unatikatika tofauti na kipindi Cha Magufuli kama unakumbukumbu vizuri Magufuli kama ajaingia madarakani wakati wa kampeni aliwapiga beat Tanesco na kweli tangu aingie ukusikia hata ile kasumba ya maji ya kidatu yamepungua.

Magufuli kakuta nchi ambayo nchi jirani zinachukua rasimali zetu ovyo ovyo Mara unasikia twigs kapandishwa ndege n.k lakini mwamba tangu aingie kuna wachina wameukumiwa vifungo virefu, mambo ya kutoroshwa mali asili kazibiti.

Kiufupi hii nchi Magufuli aliichukua likiwa imeoza na ndio maana akawa anajenga misingi we jiulize mtu kafariki muda mrefu still anapokea mshahara ndio maana akaanzisha kampeni ya kushafisha mafanyakazi hewa.

Kuna miradi Mingi hapo awali inachukua muda mrefu kukamilika ingawa haikustahili ifike huko ni kwasababu viongozi wetu hawakuwa wasimamizi tofauti na Magufuli ndio maana umeona chini yake flyover imekamilika kwa wakati madaraja mengi yamekamilika kwa wakati kwasababu hakiona mkandarasi haendi sambamba na kasi ya mradi anamfukuza hii imesaidia sana.

NB: Tanzania ina muhitaji mtu kama Magufuli ili ipige maendeleo tofauti na hapo nchi itakuwa unarudi nyuma kwa mambo mengi sana.

Rubbish
 
Calibre ya ukali na kutobembelezana ndio itayotutoa hapa na kutufanya tusonge mbele kwa haraka!

Tatizo wabongo wanapenda kubembelezwa ukiwa kauzu wanakuchukia😂! Hao ndio wanaonufaika na TZ ya sasa ya chief Hangaya! Wadokoe hela wasiguswe wafanye kazi kwa kujiskilizia hivi na hela wapate kwa wakati!
kabisaaa, tunataka rais wa kutupeleka mpera mpera na sio wa kutubembelezabembeleza
 
Magufuli was a good manager but not a leader. He was a good infrastructure manager and not a good president, he believes in things, not in the welfare of his people. He was a bit inclined/believe his people from his tribe and area and marginalized the rest. If God could give him more time he could learn that he should not only embrace his people and be a president of the Country. He should lead the Country by considering all sectors. Other sectors are also very important than just building roads and bridges. He should have learned to work with others who think differently from him.
 
Habari wanaJamiiForums

Natumaini ni wazima wa afya binafsi nilikuwa naumwa Sana angalau sasa hiv nina unafuu nilikuwa nina Malaria tuombeane nipone kabisa.Tuje kwenye mada husika hapo juu unajua nimekuwa mfuatiaji kiasi fulani wa jukwaa Hili nimegundua kuwa members wa jukwaa hili hawana tofauti na ushabiki wa Simba na Yanga au Teams zile ambazo zipo mitandaoni sijui Team diamond,Team kiba n.k tunachukulia siasa kama ushabiki badala ya kuchukulia kama maisha.

Kupitia siasa nchi ndio inajengwa watu wamekuwa wakiabudu viongozi as if ni Mungu wakiwasapoti hata kama wanakuosea hapo unajiuliza hawa wanatofauti ipi na Team diamond au Team kiba? Wanaushabiki wa vyama as if hivyo vyama vinawasaidia kuondoa umasikini wa maisha yao wamefanywa mandondocha na wanajiona ok yaani Unaweza kukuta mshabiki wa Chadema anamshambulia shabiki wa CCM analipwa kutetea ujinga lakini na yeye mwenyewe anafanya kile kile anachofanya mwenzake.

Nije kwenye lengo kuu la uzi wangu kiukweli kutokana na hii nchi ilivyo mtu kama Magufuli ndio mtu pekee ambaye alituonesha uelekeo mzuri wa kutupeleka mbali.Hii nchi kuna baadhi ya mnatatizo yanazalishwa na watu kwa lengo lakupiga pesa na kama hakuna strong President ambaye ni mzuri kwenye ufuatiliaji kupigwa kuzidi kutaendelea, Mfano mzuri tangu aingie Magufuli madarakani hakujawi kuwa na shida ya maji kama ilivyo sasa hiv huku kwetu Kimara hii inaenda siku ya 5 maji hayatoki Waziri husika uko alipo anafanya Nini wanawanchi wanateseka jitu limekaa linakula kiyoyozi watu wa aina hii wakitumbuliwa baadhi ya watu especially wenye itikadi ya vyama wanasema Magufuli ana roho mbaya wakati hata yanatokea Mama samia anazurura nchi za nje.

Umeme sasa umekuwa unatikatika tofauti na kipindi Cha Magufuli kama unakumbukumbu vizuri Magufuli kama ajaingia madarakani wakati wa kampeni aliwapiga beat Tanesco na kweli tangu aingie ukusikia hata ile kasumba ya maji ya kidatu yamepungua.

Magufuli kakuta nchi ambayo nchi jirani zinachukua rasimali zetu ovyo ovyo Mara unasikia twigs kapandishwa ndege n.k lakini mwamba tangu aingie kuna wachina wameukumiwa vifungo virefu, mambo ya kutoroshwa mali asili kazibiti.

Kiufupi hii nchi Magufuli aliichukua likiwa imeoza na ndio maana akawa anajenga misingi we jiulize mtu kafariki muda mrefu still anapokea mshahara ndio maana akaanzisha kampeni ya kushafisha mafanyakazi hewa.

Kuna miradi Mingi hapo awali inachukua muda mrefu kukamilika ingawa haikustahili ifike huko ni kwasababu viongozi wetu hawakuwa wasimamizi tofauti na Magufuli ndio maana umeona chini yake flyover imekamilika kwa wakati madaraja mengi yamekamilika kwa wakati kwasababu hakiona mkandarasi haendi sambamba na kasi ya mradi anamfukuza hii imesaidia sana.

NB: Tanzania ina muhitaji mtu kama Magufuli ili ipige maendeleo tofauti na hapo nchi itakuwa unarudi nyuma kwa mambo mengi sana.
Wajinga huamini katika nguvu za watu kuongoza, welevu na wenye akili huamini katika mifumo na consistency ya sera katika kuongoza, wewe unaamini katika watu.
 
Amuongoze nani yule muhuni na muuaji kupitia akina sabaya na domokaya
 
KAMFUFUWE
 
Hakuifuata ndio maana kuna mambo mengine ukisema ufuate katiba unachelewa sana
Kinachoniuma roho wahindi wameanza kuibuka tena aloo,jamaa aliwapiga pin kwa kweli.

Sasa hivi wataanza tena kutuibia na kuweka mapesa wanayovuna kwenye acc zao nje ya nchi,sijui kama nssf watatupelekea tena hela zetu maweee twafwaa.
 
Mama anavutia wawekezaji 😂
 
Back
Top Bottom