Hayati Dkt. Magufuli ndiye Rais aliyefaa kuiongoza Tanzania

Ata awe nani adui wa taifa ili ni uongozi wa sisiyemu. Lawama unazoziamisha toka kwa fulani kwenda kwa fulani sababishi ni hao hao sisiyemu.
 
Mama anavutia wawekezaji 😂
Kajamaa kalikuwa na mapungufu yake mengi ila mengine kalitusaisia kwa kweli kanidhaamu kalirudirudi.

Naomba tu wahindi wasipishane getini ikulu,enzi ya jiwe wahindi waliota joto la jiwe.
 
Walikuwa kama wako uhamishoni 😂 yani wanakimbilia India na kurudi
 
Habari wanaJamiiForums

Natumaini ni wazima wa afya binafsi nilikuwa naumwa Sana angalau sasa hiv nina unafuu nilikuwa nina Malaria tuombeane nipone kabisa.Tuje kwenye mada husika hapo juu unajua nimekuwa mfuatiaji kiasi fulani wa jukwaa Hili nimegundua kuwa members wa jukwaa hili hawana tofauti na ushabiki wa Simba na Yanga au Teams zile ambazo zipo mitandaoni sijui Team diamond,Team kiba n.k tunachukulia siasa kama ushabiki badala ya kuchukulia kama maisha.

Kupitia siasa nchi ndio inajengwa watu wamekuwa wakiabudu viongozi as if ni Mungu wakiwasapoti hata kama wanakuosea hapo unajiuliza hawa wanatofauti ipi na Team diamond au Team kiba? Wanaushabiki wa vyama as if hivyo vyama vinawasaidia kuondoa umasikini wa maisha yao wamefanywa mandondocha na wanajiona ok yaani Unaweza kukuta mshabiki wa Chadema anamshambulia shabiki wa CCM analipwa kutetea ujinga lakini na yeye mwenyewe anafanya kile kile anachofanya mwenzake.

Nije kwenye lengo kuu la uzi wangu kiukweli kutokana na hii nchi ilivyo mtu kama Magufuli ndio mtu pekee ambaye alituonesha uelekeo mzuri wa kutupeleka mbali.Hii nchi kuna baadhi ya mnatatizo yanazalishwa na watu kwa lengo lakupiga pesa na kama hakuna strong President ambaye ni mzuri kwenye ufuatiliaji kupigwa kuzidi kutaendelea, Mfano mzuri tangu aingie Magufuli madarakani hakujawi kuwa na shida ya maji kama ilivyo sasa hiv huku kwetu Kimara hii inaenda siku ya 5 maji hayatoki Waziri husika uko alipo anafanya Nini wanawanchi wanateseka jitu limekaa linakula kiyoyozi watu wa aina hii wakitumbuliwa baadhi ya watu especially wenye itikadi ya vyama wanasema Magufuli ana roho mbaya wakati hata yanatokea Mama samia anazurura nchi za nje.

Umeme sasa umekuwa unatikatika tofauti na kipindi Cha Magufuli kama unakumbukumbu vizuri Magufuli kama ajaingia madarakani wakati wa kampeni aliwapiga beat Tanesco na kweli tangu aingie ukusikia hata ile kasumba ya maji ya kidatu yamepungua.

Magufuli kakuta nchi ambayo nchi jirani zinachukua rasimali zetu ovyo ovyo Mara unasikia twigs kapandishwa ndege n.k lakini mwamba tangu aingie kuna wachina wameukumiwa vifungo virefu, mambo ya kutoroshwa mali asili kazibiti.

Kiufupi hii nchi Magufuli aliichukua likiwa imeoza na ndio maana akawa anajenga misingi we jiulize mtu kafariki muda mrefu still anapokea mshahara ndio maana akaanzisha kampeni ya kushafisha mafanyakazi hewa.

Kuna miradi Mingi hapo awali inachukua muda mrefu kukamilika ingawa haikustahili ifike huko ni kwasababu viongozi wetu hawakuwa wasimamizi tofauti na Magufuli ndio maana umeona chini yake flyover imekamilika kwa wakati madaraja mengi yamekamilika kwa wakati kwasababu hakiona mkandarasi haendi sambamba na kasi ya mradi anamfukuza hii imesaidia sana.

NB: Tanzania ina muhitaji mtu kama Magufuli ili ipige maendeleo tofauti na hapo nchi itakuwa unarudi nyuma kwa mambo mengi sana.
Tangu tupate uhuru nchi hii haijawahi kuwa na kiongozi mwenye roho ya kishetani kama huyo!
 
Acha Wenge, Mbona hausemi siku hizi watu wasiojulikana hawapo?

Enzi za Magu umeme ulikuwa unakatika tu labda wewe ulikuwa unakaa line ya ikulu.

Jengo la Taneco alibomoa ili iweje? Mbona hausemi alikuwa na Roho Mbaya?
Watu wasiojulikana wakati we upo hadi leo. Mbona we hujakutana na watu wasiojulikana?
Huyo waziri wako January mwenyewe kakiri kuwa umeme ulikuwa haukatiki ili watu wasifukuzwe, na kila mtu anakuambia hali haikuwa hivi ne walishasahau habsri hizo, we unasema ulikuwa unakatika tu.

Kuhusu jengo la tanesco fuatilia pia historia yake alipokuwa waziri..pia nikukumbushe pembeni ya tanesco kulikuwa na ofisi za tanroads ambazo aliamuru zivunjwe kwa kuwa zilikuwa kwenye mpaka wa barabara.
 
Mkuu wewe bado unaumwa tafadhari wahi dozi nyinyingine! Rais wa kuongoza wizara moja na kupeleka bajeti yote kwenye wizara moja kati ya wizara 27, hatufai hatufai!
Wizara moja sio ya kukopea mikopo nje ya nchi na hapohapo hatowi ajira wala kuongeza mshahara kwa watumishi wa serikali yake huyo hatufai!
Rais aliyezalisha viongozi majambazi ambao leo wanahukumiwa vifungo jela hatufai!
Rais anayeongea uwongo kuwa mashirika kama TTCL au ATCL yanajiendesha kwa faida na kutoa gawiwo serikalini ilihali ni hasara tupu, hatufai!
Rais anayeteuwa na kujaza ndani ya serikali watu wa kaila lake au ukanda wake tu , hatufai!
Rais anayefukuza hovyo watumishi wenzake wa serikali ilihali yeye binafsi tu hakutosheka na utumishi wake kama mwalimu, hatufai!
Kwa ujumla alikuwa na makandokando mengi mengi sana yaliyomfanya akose kabisa hata uhalali wa kukaa Ikulu!
Tumuombee tu apumzike kwa Amani na huko aliko Mwenyezi Mungu aendelee kumlipa mshahara wake anaostahili sawasawa na matendo yake!
 
Habari wanaJamiiForums

Natumaini ni wazima wa afya binafsi nilikuwa naumwa Sana angalau sasa hiv nina unafuu nilikuwa nina Malaria tuombeane nipone kabisa.Tuje kwenye mada husika hapo juu unajua nimekuwa mfuatiaji kiasi fulani wa jukwaa Hili nimegundua kuwa members wa jukwaa hili hawana tofauti na ushabiki wa Simba na Yanga au Teams zile ambazo zipo mitandaoni sijui Team diamond,Team kiba n.k tunachukulia siasa kama ushabiki badala ya kuchukulia kama maisha.

Kupitia siasa nchi ndio inajengwa watu wamekuwa wakiabudu viongozi as if ni Mungu wakiwasapoti hata kama wanakuosea hapo unajiuliza hawa wanatofauti ipi na Team diamond au Team kiba? Wanaushabiki wa vyama as if hivyo vyama vinawasaidia kuondoa umasikini wa maisha yao wamefanywa mandondocha na wanajiona ok yaani Unaweza kukuta mshabiki wa Chadema anamshambulia shabiki wa CCM analipwa kutetea ujinga lakini na yeye mwenyewe anafanya kile kile anachofanya mwenzake.

Nije kwenye lengo kuu la uzi wangu kiukweli kutokana na hii nchi ilivyo mtu kama Magufuli ndio mtu pekee ambaye alituonesha uelekeo mzuri wa kutupeleka mbali. Hii nchi kuna baadhi ya mnatatizo yanazalishwa na watu kwa lengo lakupiga pesa na kama hakuna strong President ambaye ni mzuri kwenye ufuatiliaji kupigwa kuzidi kutaendelea, Mfano mzuri tangu aingie Magufuli madarakani hakujawi kuwa na shida ya maji kama ilivyo sasa hiv huku kwetu Kimara hii inaenda siku ya 5 maji hayatoki Waziri husika uko alipo anafanya Nini wanawanchi wanateseka jitu limekaa linakula kiyoyozi watu wa aina hii wakitumbuliwa baadhi ya watu especially wenye itikadi ya vyama wanasema Magufuli ana roho mbaya wakati hata yanatokea Mama samia anazurura nchi za nje.

Umeme sasa umekuwa unatikatika tofauti na kipindi Cha Magufuli kama unakumbukumbu vizuri Magufuli kama ajaingia madarakani wakati wa kampeni aliwapiga beat Tanesco na kweli tangu aingie ukusikia hata ile kasumba ya maji ya kidatu yamepungua.

Magufuli kakuta nchi ambayo nchi jirani zinachukua rasimali zetu ovyo ovyo Mara unasikia twigs kapandishwa ndege n.k lakini mwamba tangu aingie kuna wachina wameukumiwa vifungo virefu, mambo ya kutoroshwa mali asili kazibiti.

Kiufupi hii nchi Magufuli aliichukua likiwa imeoza na ndio maana akawa anajenga misingi we jiulize mtu kafariki muda mrefu still anapokea mshahara ndio maana akaanzisha kampeni ya kushafisha mafanyakazi hewa.

Kuna miradi Mingi hapo awali inachukua muda mrefu kukamilika ingawa haikustahili ifike huko ni kwasababu viongozi wetu hawakuwa wasimamizi tofauti na Magufuli ndio maana umeona chini yake flyover imekamilika kwa wakati madaraja mengi yamekamilika kwa wakati kwasababu hakiona mkandarasi haendi sambamba na kasi ya mradi anamfukuza hii imesaidia sana.

NB: Tanzania ina muhitaji mtu kama Magufuli ili ipige maendeleo tofauti na hapo nchi itakuwa unarudi nyuma kwa mambo mengi sana.
Unajipa mamlaka juu ya mwenyezi Mungu! Mlituambia slipoingia madarakani kuwa ni chaguo la Mungu na ndivyo Mungu alivyomuona hafai kuendelea kutokana na matendo yake.
 
Utakua umeishiwa dawa za uchizi,wahi mirembe kwenye file lako
 
Back
Top Bottom