Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wasiojulikana wakati we upo hadi leo. Mbona we hujakutana na watu wasiojulikana?
Huyo waziri wako January mwenyewe kakiri kuwa umeme ulikuwa haukatiki ili watu wasifukuzwe, na kila mtu anakuambia hali haikuwa hivi ne walishasahau habsri hizo, we unasema ulikuwa unakatika tu.
Kuhusu jengo la tanesco fuatilia pia historia yake alipokuwa waziri..pia nikukumbushe pembeni ya tanesco kulikuwa na ofisi za tanroads ambazo aliamuru zivunjwe kwa kuwa zilikuwa kwenye mpaka wa barabara.
Mpaka unaibiwa wewe unakuwa wapi?. Mentality za uvivu na ulalamishi.Kinachoniuma roho wahindi wameanza kuibuka tena aloo,jamaa aliwapiga pin kwa kweli.
Sasa hivi wataanza tena kutuibia na kuweka mapesa wanayovuna kwenye acc zao nje ya nchi,sijui kama nssf watatupelekea tena hela zetu maweee twafwaa.
kabisaaaHakuifuata ndio maana kuna mambo mengine ukisema ufuate katiba unachelewa sana
Mama tunae hadi 2030.Tunaenda pata magufuli mpya 2025. Wajibu wa mama nikutufikisha 2025 tuweze mpata magufuli mpya. Wapo wachumia tumbo utawasikia 'mama hadi 2030' wakati mama mwenyewe kashasema viatu vya magufuli havimtoshi. Mama ni mzalendo analijua hili. Wajibu wa wazalendo wote ni kumkinga mama na vibaraka wa ubeberu na kuhakikisha anazungukwa na watu wazalendo wenye weledi.
Nenda Lindi wapo wasiojulikanaAcha Wenge, Mbona hausemi siku hizi watu wasiojulikana hawapo?
Enzi za Magu umeme ulikuwa unakatika tu labda wewe ulikuwa unakaa line ya ikulu.
Jengo la Taneco alibomoa ili iweje? Mbona hausemi alikuwa na Roho Mbaya?
Nenda Lindi wapo wasiojulikana
Kwani wanavyoiba nyie mnakuwa wapi?,Mpaka unaibiwa wewe unakuwa wapi?. Mentality za uvivu na ulalamishi.
Kusema wahindi wanatuibia ni akili za kimaskini. Wanayo nidhamu ya utendaji kazi. Mswahili akipata pesa anakwenda disco na kuanza kurusha pesa hewani kama Diamond.Kwani wanavyoiba nyie mnakuwa wapi?,
Sijakuelewa gabachori,mi nazungumzia ukwepaji Wa kodi Wa wahindi, kwani huko disco unaloendaga hukutanagi na wahindi wakijirusha?.Kusema wahindi wanatuibia ni akili za kimaskini. Wanayo nidhamu ya utendaji kazi. Mswahili akipata pesa anakwenda disco na kuanza kurusha pesa hewani kama Diamond.
Wakati huo anao ndugu wengi tu wamezungukwa na umaskini wa kutupwa.
Umemiss kunywa damu za wasio na hatia.Tanzania ilikuwa inamuhitaji zaidi JPJM ila basi tu Mungu alituweza.
Mpaka wakwepe kodi maana yake ujinga unaanzia kwetu sisi waswahili. Jiulize na utafakari kwa kina.Sijakuelewa gabachori,mi nazungumzia ukwepaji Wa kodi Wa wahindi, kwani huko disco unaloendaga hukutanagi na wahindi wakijirusha?.
Usituonee sisi waswahili boss hayo malalamiko unayapeleka kwenye idara ya sirikali ukamshinda gabachori kesu zaidi ya wewe kugeuziwa kipande.Mpaka wakwepe kodi maana yake ujinga unaanzia kwetu sisi waswahili. Jiulize na utafakari kwa kina.
Kule Afrika kusini makaburu wamefanya makubwa kuliko hayo lakini kwa ukatili wao walikataliwa sio tu na wananchi wa Afrika kusini bali dunia nzima kwahiyo hata hapa kwetu mtu mwenye chembechembe za ukaburu hatumtaki hata angefanya maendeleo gani.Habari wanaJamiiForums
Natumaini ni wazima wa afya binafsi nilikuwa naumwa Sana angalau sasa hiv nina unafuu nilikuwa nina Malaria tuombeane nipone kabisa.Tuje kwenye mada husika hapo juu unajua nimekuwa mfuatiaji kiasi fulani wa jukwaa Hili nimegundua kuwa members wa jukwaa hili hawana tofauti na ushabiki wa Simba na Yanga au Teams zile ambazo zipo mitandaoni sijui Team diamond,Team kiba n.k tunachukulia siasa kama ushabiki badala ya kuchukulia kama maisha.
Kupitia siasa nchi ndio inajengwa watu wamekuwa wakiabudu viongozi as if ni Mungu wakiwasapoti hata kama wanakuosea hapo unajiuliza hawa wanatofauti ipi na Team diamond au Team kiba? Wanaushabiki wa vyama as if hivyo vyama vinawasaidia kuondoa umasikini wa maisha yao wamefanywa mandondocha na wanajiona ok yaani Unaweza kukuta mshabiki wa Chadema anamshambulia shabiki wa CCM analipwa kutetea ujinga lakini na yeye mwenyewe anafanya kile kile anachofanya mwenzake.
Nije kwenye lengo kuu la uzi wangu kiukweli kutokana na hii nchi ilivyo mtu kama Magufuli ndio mtu pekee ambaye alituonesha uelekeo mzuri wa kutupeleka mbali. Hii nchi kuna baadhi ya mnatatizo yanazalishwa na watu kwa lengo lakupiga pesa na kama hakuna strong President ambaye ni mzuri kwenye ufuatiliaji kupigwa kuzidi kutaendelea, Mfano mzuri tangu aingie Magufuli madarakani hakujawi kuwa na shida ya maji kama ilivyo sasa hiv huku kwetu Kimara hii inaenda siku ya 5 maji hayatoki Waziri husika uko alipo anafanya Nini wanawanchi wanateseka jitu limekaa linakula kiyoyozi watu wa aina hii wakitumbuliwa baadhi ya watu especially wenye itikadi ya vyama wanasema Magufuli ana roho mbaya wakati hata yanatokea Mama samia anazurura nchi za nje.
Umeme sasa umekuwa unatikatika tofauti na kipindi Cha Magufuli kama unakumbukumbu vizuri Magufuli kama ajaingia madarakani wakati wa kampeni aliwapiga beat Tanesco na kweli tangu aingie ukusikia hata ile kasumba ya maji ya kidatu yamepungua.
Magufuli kakuta nchi ambayo nchi jirani zinachukua rasimali zetu ovyo ovyo Mara unasikia twigs kapandishwa ndege n.k lakini mwamba tangu aingie kuna wachina wameukumiwa vifungo virefu, mambo ya kutoroshwa mali asili kazibiti.
Kiufupi hii nchi Magufuli aliichukua likiwa imeoza na ndio maana akawa anajenga misingi we jiulize mtu kafariki muda mrefu still anapokea mshahara ndio maana akaanzisha kampeni ya kushafisha mafanyakazi hewa.
Kuna miradi Mingi hapo awali inachukua muda mrefu kukamilika ingawa haikustahili ifike huko ni kwasababu viongozi wetu hawakuwa wasimamizi tofauti na Magufuli ndio maana umeona chini yake flyover imekamilika kwa wakati madaraja mengi yamekamilika kwa wakati kwasababu hakiona mkandarasi haendi sambamba na kasi ya mradi anamfukuza hii imesaidia sana.
NB: Tanzania ina muhitaji mtu kama Magufuli ili ipige maendeleo tofauti na hapo nchi itakuwa unarudi nyuma kwa mambo mengi sana.
endelea na ndotoHabari wanaJamiiForums

Kama kuna watu wanatufanya Tanzania tudharauliwe ni pamoja na wewe Hziyech22. Utawala wa Magufuli ulikuwa ni utawala usiozingatia utawala bora, utawala wa sheria, kubana uhuru wa kujieleza na uuaji kupitia kundi la WASIOJULIKANA.Habari wanaJamiiForums
Natumaini ni wazima wa afya binafsi nilikuwa naumwa Sana angalau sasa hiv nina unafuu nilikuwa nina Malaria tuombeane nipone kabisa.Tuje kwenye mada husika hapo juu unajua nimekuwa mfuatiaji kiasi fulani wa jukwaa Hili nimegundua kuwa members wa jukwaa hili hawana tofauti na ushabiki wa Simba na Yanga au Teams zile ambazo zipo mitandaoni sijui Team diamond,Team kiba n.k tunachukulia siasa kama ushabiki badala ya kuchukulia kama maisha.
Kupitia siasa nchi ndio inajengwa watu wamekuwa wakiabudu viongozi as if ni Mungu wakiwasapoti hata kama wanakuosea hapo unajiuliza hawa wanatofauti ipi na Team diamond au Team kiba? Wanaushabiki wa vyama as if hivyo vyama vinawasaidia kuondoa umasikini wa maisha yao wamefanywa mandondocha na wanajiona ok yaani Unaweza kukuta mshabiki wa Chadema anamshambulia shabiki wa CCM analipwa kutetea ujinga lakini na yeye mwenyewe anafanya kile kile anachofanya mwenzake.
Nije .
NB: Tanzania ina muhitaji mtu kama Magufuli ili ipige maendeleo tofauti na hapo nchi itakuwa unarudi nyuma kwa mambo mengi sana.
Tulia basi mkuu. Magufuli si yupo huko aliko na huko kuna Watanzania wametangulia mbele ya Haki? Basi atakuwa anawaongoza huko...!Habari wanaJamiiForums